SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Screenshot_20250918-013643_1.jpg
 
Rock with it boy

Enzi hizo.. Cheap thrills na rockabye vilikuwa havikauki kwenye kiredio hostel
Kwa sasa nyimbo ipi hujisikii vizuri bila kuisikiliza kila siku, mi ni 1. Glad your settling (jessica baio ) 2. Morning ( navy kenzo ).
 
Kwa sasa nyimbo ipi hujisikii vizuri bila kuisikiliza kila siku, mi ni 1. Glad your settling (jessica baio ) 2. Morning ( navy kenzo ).
Mostly uwa ni gospel 😁
Hata niwe nimechoka aje, nikisikiliza napoa.
Patrick Kubuya sana sana na Israel Mbonyi

Vya Duniani.. know you ya Ladipoe
Favorite girl ya Dakoo na Rema
Wewe ya Ruger
Za Bongo Ali kiba X Mario - Top Notch
 
Salama kwa hapo mitaa ya clock tower, mjini kati mpaka kule kona ya eso unadhani wapi ni pazuri kwa biashara ya usonara(kuuza na kununua vito vya thamani)
Picha linaanza eso sipajui. Napasikia tu panaitwa kona ya eso, ila kujua ndio mitaa hii sijawahi fikapo. 😁

Tukirudi clock tower pale ni center.. ingia toka ni nyingi, ila utakuwa karibu na Madini pale opposite to PSSSF.

Mjini kati ukipata ni vzuri zaidi.

Afu hiyo business ukijiweka na social media pia unapata wateja.
 
Back
Top Bottom