kwani reaction ya kikopa sahii tunawekaje..!? kwangu kinakuja kikidole tu..!😔
Wapo kwenye maboresho soon wataziweka sawa mwanangukwani reaction ya kikopa sahii tunawekaje..!? kwangu kinakuja kikidole tu..!😔
Enzo, hakuna any other artist unamsikiliza zaidi ya "The Weeknd"?
Wapo wachache mno 😀 😀Enzo, hakuna any other artist unamsikiliza zaidi ya "The Weeknd"?