😅 hyo anaweza kukuvumilia😄 Hapo vipi View attachment 3482688
Mi huwa sikai mbele, kama ajali ikitokea unaiona kabisa, bora nishtukie tu puh! Gari lipo chini 😁😀😀 au seat ya mbele kabisa huku unamcheck davoo akiwa anapangua gear
Napenda mbele.. zaidi ya line ya 4 sikai 😀Mi huwa sikai mbele, kama ajali ikitokea unaiona kabisa, bora nishtukie tu puh! Gari lipo chini 😁
My favorite oldie😍 ngoja niusikilize😁
Ajali ya hivyo ni mara chache sana na mara nyingi huwa hakuna madhara makubwaNapenda mbele.. zaidi ya line ya 4 sikai 😀
kama kuna option naweza ghairi safari kisa mbele pamejaa
Ajali haina kinga
Kuna basi kugongwa kwa nyuma 😜
Make nobody stress me, no one disturb me jo joo