SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Napenda mbele.. zaidi ya line ya 4 sikai πŸ˜€
kama kuna option naweza ghairi safari kisa mbele pamejaa

Ajali haina kinga
Kuna basi kugongwa kwa nyuma 😜
Ajali ya hivyo ni mara chache sana na mara nyingi huwa hakuna madhara makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…