š Npodosho12 umetulia sana leo šView attachment 3490392
Umeshiba music eheeš Npo
š Leo npo busy sana na mipira, pia mtandao leo kwangu ni mbovu mno,Umeshiba music ehee
Au masikio yanauma š
Ndio kina Yanga mliobutuliwa?š Leo npo busy sana na mipira, pia mtandao leo kwangu ni mbovu mno,
Tunawasubiri kwa mkapa šNdio kina Yanga mliobutuliwa?
Mitandao ya Tz kizaizai.. mimi Voda imenigomea iko slow.. nimehamia tigo naserebuka.
Mnawezaje š¤£Tunawasubiri kwa mkapa š
Mi natumia mtandao usioupenda Airtel š