😁 Npodosho12 umetulia sana leo 😁View attachment 3490392
Umeshiba music ehee😁 Npo
😁 Leo npo busy sana na mipira, pia mtandao leo kwangu ni mbovu mno,Umeshiba music ehee
Au masikio yanauma 😀
Ndio kina Yanga mliobutuliwa?😁 Leo npo busy sana na mipira, pia mtandao leo kwangu ni mbovu mno,
Tunawasubiri kwa mkapa 😁Ndio kina Yanga mliobutuliwa?
Mitandao ya Tz kizaizai.. mimi Voda imenigomea iko slow.. nimehamia tigo naserebuka.
Mnawezaje 🤣Tunawasubiri kwa mkapa 😁
Mi natumia mtandao usioupenda Airtel 😅