Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Mi namtoa wapi labda nidandie wa watu tu😂Bila shaka na wewe hi weekend utakuwa na mubebez wako
Mi namtoa wapi labda nidandie wa watu tu😂Bila shaka na wewe hi weekend utakuwa na mubebez wako
Vincenzo Jr ni kwanini Seran anajikatia tamaa mapema ilhali ni pisi kali balaa.Kwa urembo upi😂😂😂 niko kama bro 😎 ndiomaana hamnitaki🥺
Kwani Vincenzo Jr aliniona wapi? 🤣Vincenzo Jr ni kwanini Seran anajikatia tamaa mapema ilhali ni pisi kali balaa.
Si ulikuwa unajipost selfika SeranKwani Vincenzo Jr aliniona wapi? 🤣
😀😀Kwani Vincenzo Jr aliniona wapi? 🤣
Leo natembea na hii playlist yako!
Karibu sana ankoLeo natembea na hii playlist yako!
Upo sahihi kabisa 💯 😂 😂Khaa ogopa matapeli😆
Nasema uongo anko?
Na kamvua haka 😅😅
Weekdays ni za muajiri bwana 😀Ntamsalimia huenda leo kabanwa mahali! Na alisema ana babe huenda yuko na babe ake😂👌🏽