Mi namtoa wapi labda nidandie wa watu tuπBila shaka na wewe hi weekend utakuwa na mubebez wako
Vincenzo Jr ni kwanini Seran anajikatia tamaa mapema ilhali ni pisi kali balaa.Kwa urembo upiπππ niko kama bro π ndiomaana hamnitakiπ₯Ί
Kwani Vincenzo Jr aliniona wapi? π€£Vincenzo Jr ni kwanini Seran anajikatia tamaa mapema ilhali ni pisi kali balaa.
Si ulikuwa unajipost selfika SeranKwani Vincenzo Jr aliniona wapi? π€£
ππKwani Vincenzo Jr aliniona wapi? π€£
Leo natembea na hii playlist yako!
Karibu sana ankoLeo natembea na hii playlist yako!
Upo sahihi kabisa π― π πKhaa ogopa matapeliπ
Nasema uongo anko?
Na kamvua haka π π
Weekdays ni za muajiri bwana πNtamsalimia huenda leo kabanwa mahali! Na alisema ana babe huenda yuko na babe akeπππ½