Nimepokea PK, kuna nyakati muhindi anakuvuna mpk unasema kheri kuwa Mrs. Goalkeeper 😀😀
Na weekends za wamiliki😅Weekdays ni za muajiri bwana 😀
Tufanye mpango tuwe ma-goalkeeper shenesti🤪Nimepokea PK, kuna nyakati muhindi anakuvuna mpk unasema kheri kuwa Mrs. Goalkeeper 😀😀
Good mornie!
Maswali kuntuuDepal naomba majibu ya huu wimboView attachment 3505860
Nipo kaka nachezea maji tu huku baharini kigamboni
Currently shaking everything that moves.. and idgaf 🤣Seran shake ya body basiView attachment 3506222
Hiyo muhimu sana na ulivyo na shape kama la sanchoka ng'ombe 100 muhimu, shahidi yangu ni Vincenzo Jr na dosho12Haraka sana na ng’ombe usiache😅
Eenh Mungu! Acha kupotosha vijana wa watu wewe Pee😆 mi shape natoa wapi?Hiyo muhimu sana na ulivyo na shape kama la sanchoka ng'ombe 100 muhimu, shahidi yangu ni Vincenzo Jr na dosho12