Sema suu niipost hapa picha yako, nilivyoiona kwa mara kwanza nahisi moyo ulisimama namna ulivyojaaliwa huko nyuma ๐ฅฐ mashallah!Eenh Mungu! Acha kupotosha vijana wa watu wewe Pee๐ mi shape natoa wapi?
Kheee utakuwa umenifananaisha Poker! Nyuma ipi? Picha gani hii unaongelea hebu tuione๐คฃSema suu niipost hapa picha yako, nilivyoiona kwa mara kwanza nahisi moyo ulisimama namna ulivyojaaliwa huko nyuma ๐ฅฐ mashallah!
Kwahiyo umenipa idhini yako mwenyewe ni iposti? Usije ukaanza kulalama maana wowowo limejaa hatari.Kheee utakuwa umenifananaisha Poker! Nyuma ipi? Picha gani hii unaongelea hebu tuione๐คฃ
Usijali kaka mshenga npo, nishaandaa na suti yanguHiyo muhimu sana na ulivyo na shape kama la sanchoka ng'ombe 100 muhimu, shahidi yangu ni Vincenzo Jr na dosho12
Nakuhakikishia huyo sio mimi! Sina wowowo mwee๐Kwahiyo umenipa idhini yako mwenyewe ni iposti? Usije ukaanza kulalama maana wowowo limejaa hatari.
What does the song contains?!!!
Kasikilize ๐What does the song contains?!!!
I ain't playing no games, every word that I say is coming straight from the heart๐ถ๐ตKasikilize ๐