Too late to make you mine
The Weekend - Out of TimeView attachment 2196725
Say I love you, girl, but I'm out of timeToo late to make you mine
Nishasikiliza ngoma nyingi saana toka asubuhi miss me ya drake, back it up, kupata majaaliwa ya kwake fundi omary omary (apumzike kwa amani) kondakta na asha toka kwa mafundi jagwa.. droit de veto(ile khuma inauma,kumar inauma)ya mzee koffie .. so many tears na nyingine kibao.makaveli10 nakusalimia kakaView attachment 3517784
Naimanya vizuri tumakaveli10 hii unaipata View attachment 3517369
Ngoma yako hyo wa buku mbili 😁
Mimi siyo wa buku 2Ngoma yako hyo wa buku mbili 😁
😁 sawa bwana, usisahau ahadi yako uliyotoa kwenye uzi wa ku snap, ulisema mwezi wa kwanza 😁Mimi siyo wa buku 2