Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Thanks mate 😎 nawafowadia hawa nice song CarleenNenda kaisikilize na hii kaka, ngoma kali mno Binti wa zamani unaipata hii View attachment 3521411
....spicyyyyyyyyyyyyyyyy.
Ngoma Kali sana hii 🔥 🔥 nakala kwa Binti wa zamani....spicyyyyyyyyyyyyyyyy.
Nashukuru ndugu yangu sikukuu ni njema, bajeti yangu ilikuwa ni ugali dagaa, ila kwa hisani ya ndugu zangu wapendwa wakrislam, nilikula pilau kuku wali samaki, biriyani.....hii kitu sisi maveteran ndo inatukosha, hapo mtu umemaliza mazoezi ya kifaza, umetulia unakula chapati za maji.
Heri za msimu wa sikukuu ndugu yangu
Bonge la ngoma 🔥 🔥