SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

....hii kitu sisi maveteran ndo inatukosha, hapo mtu umemaliza mazoezi ya kifaza, umetulia unakula chapati za maji.
Heri za msimu wa sikukuu ndugu yangu
Nashukuru ndugu yangu sikukuu ni njema, bajeti yangu ilikuwa ni ugali dagaa, ila kwa hisani ya ndugu zangu wapendwa wakrislam, nilikula pilau kuku wali samaki, biriyani.
Kikubwa zaidi BOXING day nilifanikiwa kufungua box la SALAMA kondo-mu kwa hisani ya jirani yangu, aliyeniona nimekaa kinyonge sana..
Nimeamini watu wema wapo.
Hivyo nilikula pishi na mpishi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…