Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Hii ni app gani Cenzo
SoundCloudHii ni app gani Cenzo
...hii sasa ndo ulevi wangu, utasema nimezaliwa Zaire kumbe Tanzania ndani kabisa. Hapo ukutane na sauti ya Carlyto Lassa ua Malage wakiimba nyimbo zilizoabdikwa na mkongwe Simaro Lutumba. Uko zako unaitafuta Mtwara tokea ShinyangaObe kaisikilize hiiView attachment 3525720
Niwe nawee mahali pa faragha😍 penye utulivu… ambapo kila sauti ya pumzi yako inakuwa muziki mwilini mwangu 😈💫
Hapana namaanisha sex, maana hiyo nyimbo ya black widow mwanamke akinidediketia huwa mishipa yote inasimama dede. Maana kuna sehemu iggy azalea anasema uichape jikoni mpaka waite fire 🥰Rough music au rough nini jmn🤣
Najuaa, hahhaa kwahiyo umesha dediketiwa mara ngapi? Kipi kinakufanya mishipa iitike mwee😂Hapana namaanisha sex, maana hiyo nyimbo ya black widow mwanamke akinidediketia huwa mishipa yote inasimama dede. Maana kuna sehemu iggy azalea anasema uichape jikoni mpaka waite fire 🥰