Nikimalizana na mafungu ya nyanyaSeran ishi na hii siku ya leoView attachment 3527924
Haijawahi kukosekana kwenye playlist yangu yoyote ile.makaveli10 hii ngoma inanikumbusha enzi za game boy nintendo na sega kipindi hiko dvd ndio zimeanza kuingia na watu kuachana na maVHS.View attachment 3527932
Weweee poker unanipatialeo dada kaisikilize hii ngomaView attachment 3527928