SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

1000121864.png
 
IMG_5231.jpg



Nijalie unyenyekevu eeh bwana wangu,
niondolee kiburi eenhe bwana wangu,

Nipe moyo wa zaburi eeeh bwana wangu,
niondolee mashindano eeh bwana wangu,

Niumbie moyo safi eeeh bwana wangu wangu, nikutumikie siku zote.
Neema yako yanitosha, neema yako yanitosha!
 
Back
Top Bottom