SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Tumeishi na watu wanaoamini kwenye mpango wa Mungu kuna mkono wa mtu
Tumeishi na watu wanao amini siku kuu ndio siku ya kujinja kuku
Oya weeeee🔥🔥🔥🔥

Champion 🏆 🥇
 

Attachments

  • 2026_05_01_23.04.56.jpg
    87.6 KB · Views: 9
Ukiuliza kiatu ndio kitakuambia mambo ni mangapii mi nimepitia🎶
Siwezi kurudi nyuma sijakalili njia🎶
Nshakutana na mambo mengi ya dunia
Ndio maana hapa nilipo nikikuamulia
Hushindi hata ukivaa nguo za kushindia🔥🔥
 

Attachments

  • 2026_05_02_23.38.43.jpg
    114 KB · Views: 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…