Dah nimeikumbuka hii ngoma 😃ngoja nikaishushe
Hiyo nomaDah nimeikumbuka hii ngoma 😃ngoja nikaishushe
Upate net kijana huu muda sio wa kusikiliza nyimbo 😃😃
Nliandaa hela ya kununa tambo 😂😂Upate net kijana huu muda sio wa kusikiliza nyimbo 😃😃
Upate net kijana huu muda sio wa kusikiliza nyimbo 😃😃
😃😃😃Hii league ikiisha napumzika kuchezaNliandaa hela ya kununa tambo 😂😂
Nmekumbuka kuwa inabidi niandae mtaji wa kulima matikiti hivo acha niendelee na hii remote 😂😂
Mi ntacheza maana huku muda mwingi nipo free ila net ndiyo hamna apa kesho nkatafte laini ya airtel nijaribu kama itakuwa powa.😃😃😃Hii league ikiisha napumzika kucheza
Fanya hivyoMi ntacheza maana huku muda mwingi nipo free ila net ndiyo hamna apa kesho nkatafte laini ya airtel nijaribu kama itakuwa powa.
Asante nitautafuta
thanks ngoja n mimi niipakue hiiNgoja niiskilize. Ila hii nyimbo ni spesho kwaajili yako. win-one View attachment 3604402