MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Kwa huo uzee hizo sio ngoma zako🚶♀️🚶♀️Nimefanyaje mjukuu 🤭
Kwa huo uzee hizo sio ngoma zako🚶♀️🚶♀️Nimefanyaje mjukuu 🤭
naomba nitumie wimbo wa lady jaydee mambo matano, kwangu upo locked mpka nilipie
Ulinijaza 'nami nikajaa
Ulinijaza 'nami nikajaa
Nikaamini we ndio wangu wa maisha
Ulinilaza njaa 'ili wewe usije kosa
Hayo yote we ulijisahaulisha
Uliniabisha
Mbele ya marafiki zangu mimi
Ukawa nao hao, hao
Umenidhalilisha
Uaminifu wangu mia percent 'kwako zero percent Mawardat
Goma kalii sana hili
nitumie kwanza alf tutaongea ni app gani😅mmh app gani hiyo unatumia? win-one View attachment 3639775
Jamaa alikuwa anajua, 🫡