Daah,haya magaga yangu sugu yanachana Hadi shuka.Kila nikisikiliza nyimbo za huyu dada huwa makukumbuka sana MawardatDellapinaView attachment 3696837
Kuna moja ile ameshirikishwa na izzo business unaifahamu?Daah,haya magaga yangu sugu yanachana Hadi shuka.
Naiimba hapa ki moyo moyo,naifahamu.Kuna moja ile ameshirikishwa na izzo business unaifahamu?View attachment 3696844
Hio nidedication yangu kwako kwa siku ya leo na nyingine ni hii hapa.Naiimba hapa ki moyo moyo,naifahamu.
Nakupa hii🥰Hio nidedication yangu kwako kwa siku ya leo na nyingine ni hii hapa.View attachment 3696870
Mie yangu hii ya Leo kwako🔥Hio nidedication yangu kwako kwa siku ya leo na nyingine ni hii hapa.View attachment 3696870
Niko hapa bar nimewaambia waiweke ili nisikilize huku nashusha moja moto na moja baridi.Mie yangu hii ya Leo kwako🔥View attachment 3696881
Eeh na mshahara unautumbulia hapo,,,upe mwili pole💃Niko hapa bar nimewaambia waiweke ili nisikilize huku nashusha moja moto na moja baridi.
Hapana situmbui mshahara maana bado sijalipwa, nlikuwa na mawazo juu yako ndio nikaamua kupoza akili kidogo habibty wangu MawardatDellapinaEeh na mshahara unautumbulia hapo,,,upe mwili pole💃
Kwahiyo wewe unalipwa tarehe 32?Hapana situmbui mshahara maana bado sijalipwa, nlikuwa na mawazo juu yako ndio nikaamua kupoza akili kidogo habibty wangu MawardatDellapina
Basi imenibidi nitoke hapa bar narudi nyumbani kutulia zangu. Ngoja nipite kwa wakala nikusababishie hata ya biriani leo ijumaa.Kwahiyo wewe unalipwa tarehe 32?
Usinywe ukalewa,me nimeenda masjid wewe upo bar🥺