SDA kanisa langu kubalini kuwa wanafunzi wa Yesu na sio waumini wafuasi wa Ellen White

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Wanafunzi wa Yesu waliambiwa "Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi..."
Wafuasi wa kweli wa Yesu hawajahitimu hadi Yesu atakaporudi ndipo tunaambiwa atawapa taji.
Kuna hatari ya kujitengenezea theolojia na kuifuata kama ilivyo hata kama ina mapungufu.

Kanisa linapaswa kujua kuwa wafuasi wake siku zote wanapaswa kuwa wanafunzi wa Yesu kupitia roho mtakatifu.

Kwa sasa makanisa mengi yana ubaguzi,mipaka na vizuizi vilivyo katika kanuni na theolojia ambavyo ni hekima za kibinadamu kuliko maono ya roho mtakatifu.

Huwa natamani nirudi kanisani ambako mawazo huru ya kuhoji vitu yanaruhusiwa kuliko ilivyo sasa ambapo naona neno la Mungu linakanyagwa na watu wamekaza mafuvu tu wakiamini wanamsubiri Yesu
 
Siku hizi unakuta mtu anaijua the great controversy neno kwa neno kuliko anavyoijua injili ya Mathayo, Ellen White alikuwa pointer tu wa kuwaelekeza kwa Yesu, sio kiongozi wa msafara, now days mtu akiwa anasoma mistari ya Biblia anatafuta kwanza nukuu za EGW ithibitishe, badala ya kuruhusu Roho Mtakatifu afanye kazi yake, ile discipleship imebaki kwenye makaratasi tu.
 
Wanafunzi wa Yesu waliambiwa "Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi..."
Wafuasi wa kweli wa Yesu hawajahitimu hadi Yesu atakaporudi ndipo tunaambiwa atawapa taji.
Kuna hatari ya kujitengenezea theolojia na kuifuata kama ilivyo hata kama ina mapungufu.

Kanisa linapaswa kujua kuwa wafuasi wake siku zote wanapaswa kuwa wanafunzi wa Yesu kupitia roho mtakatifu.

Kwa sasa makanisa mengi yana ubaguzi,mipaka na vizuizi vilivyo katika kanuni na theolojia ambavyo ni hekima za kibinadamu kuliko maono ya roho mtakatifu.

Huwa natamani nirudi kanisani ambako mawazo huru ya kuhoji vitu yanaruhusiwa kuliko ilivyo sasa ambapo naona neno la Mungu linakanyagwa na watu wamekaza mafuvu tu wakiamini wanamsubiri Yesu
E. G White anabeba Roho ya unabii
 
Ellen G White ni mwandishi na mwinjilisti kama walivyo wainjilisti wengine.

Ellen sio final say. Ni kama kina Paulo tuu.

Mengine nafikiri na mambo ya biashara za vitabu tuu.
Mimi huwa nawaza huenda EGW alikuwa spy wa USA.

Kinachonifanya nifikiri hivyo ni anaposema "TAIFA LA MWISHO LENYE NGUVU KUBWA DUNIANI NI MATEKANI"

Sasa hivi tunashuhudia China inaibuka kwa Kasi kiuchumi na hata kiteknolojia. Hapo ndipo Huwa naona alikuwa anatupanga tuendelee kuiogopa USA na asiwepo wa kufikiria kuishusha kimabavu.
 
Wanafunzi wa Yesu waliambiwa "Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi..."
Wafuasi wa kweli wa Yesu hawajahitimu hadi Yesu atakaporudi ndipo tunaambiwa atawapa taji.
Kuna hatari ya kujitengenezea theolojia na kuifuata kama ilivyo hata kama ina mapungufu.

Kanisa linapaswa kujua kuwa wafuasi wake siku zote wanapaswa kuwa wanafunzi wa Yesu kupitia roho mtakatifu.

Kwa sasa makanisa mengi yana ubaguzi,mipaka na vizuizi vilivyo katika kanuni na theolojia ambavyo ni hekima za kibinadamu kuliko maono ya roho mtakatifu.

Huwa natamani nirudi kanisani ambako mawazo huru ya kuhoji vitu yanaruhusiwa kuliko ilivyo sasa ambapo naona neno la Mungu linakanyagwa na watu wamekaza mafuvu tu wakiamini wanamsubiri Yesu
Unapoint usikilizwe.
 
Mimi huwa nawaza huenda EGW alikuwa spy wa USA.

Kinachonifanya nifikiri hivyo ni anaposema "TAIFA LA MWISHO LENYE NGUVU KUBWA DUNIANI NI MATEKANI"

Sasa hivi tunashuhudia China inaibuka kwa Kasi kiuchumi na hata kiteknolojia. Hapo ndipo Huwa naona alikuwa anatupanga tuendelee kuiogopa USA na asiwepo wa kufikiria kuishusha kimabavu.
Bado huna uhakika¡
 
Dah! Hili kanisa lina mambo mengi saana leo katika kumsitiri ndugu yetu mara mchungaji akaanza.
1. Mchungaji akishaweka mchanga kwenye kaburi ni marufuku mtu yeyote kuweka udongo.
2. Hakuna kuweka mashada kaburini.

Kilichotokea sasa familia ilifanya inavyoweza maana waligundua hawa wasabato wana upuuzi mwingi saana.
 
Back
Top Bottom