SDA kanisa langu kubalini kuwa wanafunzi wa Yesu na sio waumini wafuasi wa Ellen White

Inashangaza sana karne ya 21 bado kuna wajinga wana amini mawazo ya wajinga wa kale huko.
 
Mimi huwa nawaza huenda EGW alikuwa spy wa USA.

Kinachonifanya nifikiri hivyo ni anaposema "TAIFA LA MWISHO LENYE NGUVU KUBWA DUNIANI NI MATEKANI"

Sasa hivi tunashuhudia China inaibuka kwa Kasi kiuchumi na hata kiteknolojia. Hapo ndipo Huwa naona alikuwa anatupanga tuendelee kuiogopa USA na asiwepo wa kufikiria kuishusha kimabavu.
Wachapishaji wa vitabu vya Ellen White huenda walikuwa aidha illuminat ama walikuwa influenced na illuminat.
Kuamini jumbe katika vitabu hivi badala ya biblia,ni hatari sana.
 
Illuminati ni nini??
 
Unakuta mtu yuko namtumbo huko ndani kabisa nae anajiita mwanafunzi wa yesu (how?/who are you?) unajikuta mwana Israel au? Wewe ni katika ukoo wa nabii yakub (Israel)..?
Wewe kabila lako ni mnyanturu,muha,mkurya, halafu unajiita mwanafunzi wa yesu....kivipi?
Wewe utabaki kuwa mmakonde tu
Yesu hakutumwa kwa wamakonde na wanyanturu,ila wana wa Israel waliopotea.
 
Wanafunzi wa Yesu waliambiwa "Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi..."
Wafuasi wa kweli wa Yesu hawajahitimu hadi Yesu atakaporudi ndipo tunaambiwa atawapa taji.
Kuna hatari ya kujitengenezea theolojia na kuifuata kama ilivyo hata kama ina mapungufu.

Kanisa linapaswa kujua kuwa wafuasi wake siku zote wanapaswa kuwa wanafunzi wa Yesu kupitia roho mtakatifu.

Kwa sasa makanisa mengi yana ubaguzi,mipaka na vizuizi vilivyo katika kanuni na theolojia ambavyo ni hekima za kibinadamu kuliko maono ya roho mtakatifu.

Huwa natamani nirudi kanisani ambako mawazo huru ya kuhoji vitu yanaruhusiwa kuliko ilivyo sasa ambapo naona neno la Mungu linakanyagwa na watu wamekaza mafuvu tu wakiamini wanamsubiri Yesu
Mimi Huwa nashtuka sana mtu anapopinga na kukandia Theolojia.Kwa kifupi Theolojia ni Elimu kuhusu Mungu,unaposoka biblia inasoma Theolojia,anayehubirinkanisani anahubiria Theolojia.Elimu yoyote au jambo lolote utakalolisema kuhusu Mungu ni Theolojia.Sasa hama hautaki Theolojia unataka nini,upagani.
 
Wanafunzi wa Yesu waliambiwa "Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi..."
Wafuasi wa kweli wa Yesu hawajahitimu hadi Yesu atakaporudi ndipo tunaambiwa atawapa taji.
Kuna hatari ya kujitengenezea theolojia na kuifuata kama ilivyo hata kama ina mapungufu.

Kanisa linapaswa kujua kuwa wafuasi wake siku zote wanapaswa kuwa wanafunzi wa Yesu kupitia roho mtakatifu.

Kwa sasa makanisa mengi yana ubaguzi,mipaka na vizuizi vilivyo katika kanuni na theolojia ambavyo ni hekima za kibinadamu kuliko maono ya roho mtakatifu.

Huwa natamani nirudi kanisani ambako mawazo huru ya kuhoji vitu yanaruhusiwa kuliko ilivyo sasa ambapo naona neno la Mungu linakanyagwa na watu wamekaza mafuvu tu wakiamini wanamsubiri Yesu
Mimi naomba kuuliza, kwani Wasabato yaani (SDA) ni Wakristo au wao ni Wasabato tu?
 
Back
Top Bottom