Mr Kicheko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 789
- 216
Hiyo ya kubundi siku hizi wanaibana speed sana inakuwa haipandi 1Mbps then wanakuja kuichia saa 8 usiku ila ikifika saa 11 ndiyo unapata 6Mbps so why wale wa bundle za unlimited na Utamu wa Paje mida ya mchana wanakamua tu hakuna sijui cha mkonge wala nini.Hacha pumba mkuu Hiyo Guru haifiki ki hivyo kwanza nasikia wadau wamejitoa kiroho safi!!! Anayepata 4mbps siku ya leo ajitokeze iwe wa kubundi au wa bundle full kujiachia mwezi
Yaani speed ni ya konokono, kupost hapa nimeenda kilombero sokani, nimerudi huku matejoo ndo nakuta inaanza kufunguka!Sasa hapa mnatumia nini.......? Mbona mmepost........?
Yaani speed ni ya konokono, kupost hapa nimeenda kilombero sokani, nimerudi huku matejoo ndo nakuta inaanza kufunguka!
Aisee kaka ni kotee hata tiGO majanga tuu hakuna kinachofanya kazii
dogo usicheze na guru. angalia hapa screenshot saa sita mchana kweupeee pick hour. na speed ni above 6MpsHacha pumba mkuu Hiyo Guru haifiki ki hivyo kwanza nasikia wadau wamejitoa kiroho safi!!!
Anayepata 4mbps siku ya leo ajitokeze iwe wa kubundi au wa bundle full kujiachia mwezi
AshaDii wewe unatumia nini?
AshaDii wewe unatumia nini?
Ni huku Arusha, ndipo makao makuu ya wauza dadiindio wapi huko?
chonka abaaya mwetusa! Mbwenu wayenda kutugambililamu okwooina ebili omuliikutukula byona? Kwani kawakugambile oti omutandao gubi titwakueleiwe??????Wanajamvi HEBU tufahamisheni, kunani? Si ipad, si iphone, si smartphone, laptop na desktop ndio kabisaaaaaaaaaa!!!! Unaenda kuoga ukirudi bado tu ukurasa haujafunguka, kulikoni? Very dissatisfied and disappointed.
voda kama kawa