SEACOM outage: ISP wa Tanzania bado sana! Internet yawa kero kwa watumiaji

mkuu hebu chunguza tena hio voda maana mimi jana mpaka leo nina voda na sjatoka net hata dk 1 nipo on mda wote

Inategemea uko mkoa gani. Kwa waliokuwa Dar watakuwa na nafuu ila wa mikoani balaa tupu mitandao yote hakuna net.....
 
Inategemea uko mkoa gani. Kwa waliokuwa Dar watakuwa na nafuu ila wa mikoani balaa tupu mitandao yote hakuna net.....

niko mwanza na ninatumia voda toka asubuhi ni mwendo mdundo hakuna shida kabisa ninaperuzi kama kawaida
 
Mimi natumia ttcl broadband hakuna kitu na tigo ukiunga bundle zao net hata page haifungui labda kwenye simu lakin moderm patupu zantel hamna kitu airtel hamna voda 2 ndo wapo hewani yaani nchi yetu ya ajabu sana ukipigiga bomu ubungo tanesco nchi gizani ukikata mkonge hamna net karibia nchi nzima mbonaa balaa tupu
 
wadau cjui cm yanhu ni mbov au vp kila nkituma sms zinafika baada ya saa na
internet ndo haitak kuwa accesed kabisa cjui hata nfanye nini
 
Kama ni hizi siku Mbili, kuna tatizo la kimatandao kwani Mkonga wa MawasiliAno Baharini umepata hitilafu. ISP wengi net inasumbua kwa sasa tokea Juzi.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Yaani nchi inajulikana kabisa kuwa "UKINIPIGA PALE NIMEKWISHA NA UKING'ATA HAPA SINA UJANJA"....Maeneo ya kuipiga hii nchi ni kama ulivotaja mkuu
 
wakazamie watengeneze. kazi yao kuzunguka kwenye viti kututumia meseji ya matatizo. wangetumia huo muda kuurekebisha.
 
ukiangalia kwenye website ya kampuni inayomiliki mkongo mwingine wa baharini unaojulikana kama eassy wana hub yao hapa dar, ni kwanini internet nchi nzima iwe down wakati kuna an alternative route, pili jirani zenu kenya wana mikongo isiopungua mitatu hivi ikiwemo seacom, si ingekuwa vizuri kujiunga na angalao mmoja wa ziada ili tuepuke haya matatizo!!!!
 
Mbona naambiwa Zantel wana mkongo wao!So wao hawako down.
Ila niko na kimodem cha airtel apa ilo tatizo halijanitokea
 
Nadhani things are back to normal mimi ninastream tokea jana na Zantel kama hapo zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…