Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Huu mkongo unahujumiwa au? Internet ANALOJIA FULL!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hebu chunguza tena hio voda maana mimi jana mpaka leo nina voda na sjatoka net hata dk 1 nipo on mda wote
Inategemea uko mkoa gani. Kwa waliokuwa Dar watakuwa na nafuu ila wa mikoani balaa tupu mitandao yote hakuna net.....
Utafikiri kweli cable ni ya kwao!!!
Yaani nchi inajulikana kabisa kuwa "UKINIPIGA PALE NIMEKWISHA NA UKING'ATA HAPA SINA UJANJA"....Maeneo ya kuipiga hii nchi ni kama ulivotaja mkuuMimi natumia ttcl broadband hakuna kitu na tigo ukiunga bundle zao net hata page haifungui labda kwenye simu lakin moderm patupu zantel hamna kitu airtel hamna voda 2 ndo wapo hewani yaani nchi yetu ya ajabu sana ukipigiga bomu ubungo tanesco nchi gizani ukikata mkonge hamna net karibia nchi nzima mbonaa balaa tupu