Sean "Combs" Diddy akamatwa

Bususwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
468
Reaction score
1,116
Sean "Diddy" Combs was arrested in Manhattan on September 16, 2024, following a grand jury indictment related to an ongoing federal investigation involving allegations of sex trafficking, sexual assault, and other criminal activities. This arrest came after his properties were raided by federal agents earlier in the year
 
Msomali kazini
 
Daah Diddy anamfata R Kelly Mamafia wa USA wanakutumia baadae wao ndio wanapeleka ushahidi kwenye vyombo vya kiuchunguzi..hizi kesi 2 Pac alikutana nayo ila enzi hizo zilikua hazina makali kama sasa hivi ndio maana aliweza kutoka jela..
 
Diddy ilikua lazima aende Jela mapunda wake walipokamatwa na Wazee wa kazi kuchukua simu yake Airport kwa kipindi kirefu huku wakiendelea kuwasiliana na wauza sumu ni ngumu sana kubaki salama Diddy kwa wafatiliaji wa gangster life ya East side na West Side hiyo ni kawaida tu kutokea.
 
Sijakuelewa, ungetoa intro kidogo kama una muda
Nimekutana na hii habari asubuhi hii, naona FBI wamemkamata na kutokana na wenzetu hawakamati mtu ovyo ovyo. Ndio nauliza je kesi kesi za diddy ndio zimeanza kuchachamaa manake week iliyopita alihukumiwa fine ya dola million 100. Diddy ana tuhuma nyingi ikiwemo ya mauaji ya watu kama 2 PAC , club shooting iliyomuweka jela MSANII NA MWANASIASA KUTOKA BELIZE , SHYNE BARROW .
 
Aaah hapo nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…