Sean "Combs" Diddy akamatwa

PDidy wa Jf anasemaje kwani?!
 
Wanamuandama na kumuonea kwasababu ya rangi yake. Kama Tanzania tu jinsi Serikali ya CCM inavyowaandama, kuwaonea na kuwanyima fursa wachaga wenye mafanikio na utajiri.

Sasa hivi jamaa ana 56 hadi atoke ni baada ya miaka 30 akiwa na 86.
 
Na kazi zake na Diamond Platinum ndio tusubiri ipite miaka 30 au 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…