Sean "Combs" Diddy akamatwa

Another Rich Black person down.... and poor Black men are happy about it watu weusi ni kama tuna laana flani Diddy inasemekana ni shoga lakini Steve jobs pia alikuwa shoga lakini kwa diddy tumekomaa nae na tunatamani afilisiwe na afungwe kabisa 😁 KUMBAVU
 

Mimi sisupport ushoga ila 1000 bottles sio kesi ya msingi na tool ya kumdestroy diddy ikija kwa watu wajinga, kuna wazungu wengi wenye tabia chafu ila kwa weusi inakua mara 100 mimi kama Business person Diddy ataenda down sababu ya hate sio crime na watu watakaompeleka down ni watu weusi kama 50 cent
 
Upo sahihi..
 
Ila weusi kutarijikia kwa weupe ni mitihani. Nawaza hujuma nyingi hutumika kuhakikisha mtu mweusi hata akifurukuta lazima akalishwe chini. Michael Jackson, Mc hammer, Omar Shakur, Mick Tyson, yule basketballer aliyeanguka na ndege yake,. orodha ni ndefu, ongezea.
 
Kwa nchi za wenzetu, utazunguka zungukaaaaaaaa ila mwisho utajaa tu kwenye 18. Uwe na pesa au uwe kapuku wenzetu wembe ni ule ule
Ni kweli; anagalia Trump pamoja na kuwa rais wa zamani (siyo mstaafu) na mgombea wa kiti cha urais tena, sheria bado iko pale pale na asipoangalia, atajikuta jela
 
Kila aliyemuona kuonana naye ashawatifua mitaro..

Ova
 
That's
That is ok since a court was involved in sanctioning the arrest. What is not acceptable is what is going on in TZ whereby a citizen is arrested by law-enforcement agents and soon afterwards is tortured till death; without seeing the inside of a courtroom to be told what crime he/she is suspected to have committed.
 
Ali Msomali aka Diddy aka Shemeji kesi yake itaanza kuunguruma 05 May 2025 kwa kipindi mpaka kuanza kwa kesi atabaki tu "nyuma ya nondo" aka segedansi aka Lupango aka inside aka ndichi.
 
Ali Msomali aka Diddy aka Shemeji kesi yake itaanza kuunguruma 05 May 2025 kwa kipindi mpaka kuanza kwa kesi atabaki tu "nyuma ya nondo" aka segedansi aka Lupango aka inside aka ndichi.
Mwamba ndiyo keshapotea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…