Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Alitaka mkopoAlitakaje? Akome😄
Wanazoea vibaya hawa😂Alitaka mkopo
Wanatuonaje labda. LohWanazoea vibaya hawa😂
Unaweza kudhani ni walemavu, mtaani wanashindana wao kwa wao , anayehongwa Sana anaonekana bingwaKatika mahojiano yake na wasafi MZUNGU huyo ameoneshwa kukerwa na tabia ya mademu wa bongo kuomba omba hela, MZUNGU huyo amedai ni OMBA OMBA sana, katika kipindi CHA wasafi the switch, akiwa na Aaliyah na mchaga og.
Mpaka mtu kuongea redioni kaka kapitia mengiIkapigwa vizinga vya kutosha sana
Mpaka kabulu karusha taulo sio poaMtetezi wa magharibi kwenye moja na mbili
Wakale wanapopelekaga mboga bwana wee😂Wanatuonaje labda. Loh
Na anayetongozwa sana anapatiwa kombe😎Unaweza kudhani ni walemavu, mtaani wanashindana wao kwa wao , anayehongwa Sana anaonekana bingwa
Anakuwa mahindi, tongozo mingi pesa nyingi anaingizaNa anayetongozozwa sana anapatiwa kombe😎
Si ndio🤣Anakuwa mahindi, tongozo mingi pesa nyingi anaingiza
Kila mtu ata atachanganyikiwa kwa wakati wakeMwanamke anayeomba omba is so sexy.
I need to get one of my own ili awe aniombe embe hadi nimpe hadi nyama ya u&oo.
My life is a movie and everybody is watching.Kila mtu ata hanganyikiwa kwa wakati wake