Dah kwakweli janga ni kubwa hatari mpaka kuna muda hata sisi wanawake wenyewe tunaogopa! Kuna siku unaweza sema ukapumzishe sehemu kichwa mara anakuja mtu, unasema atleast leo nimepata mchuchu unashangaa anakwambia tunaweza kuondoka wote leo?🫢 Kuna wakati nilikuwa nafikiri labda ni kesi moja moja tu (isolated cases) za wanawake wachache wa mjini wanaopenda maisha ya kung'aa ila nimekuja kugundua sasa imekuwa mtindo wa maisha kabisa wa wanawake wengi hasa wanawake late 90's na vibinti vya 2000's.
Kama hauna chochote cha kuoffer kwa mahusiano kwanini unaona ustahili kupewa hela na mwanaume?Kwanza mkishaingia kwenye ndoa ni biashara nyingine kabisa tofauti na huu ujinga wa u-bg na u-gf uchwara! yani tudate miezi 6 unataka nikuletee nini, nikasombe vya baba'angu nikupe? mkiwa ndoani huwezi kuishi na mke kama sanamu lazima kuna mahala atawajibika tu, ukimshirikisha jambo atakuja na wazo hili mnashauriana maisha yanaenda, hivi hawa walalamikaji wanakuaga na ndoa kweli au anaokota tuanafunzi tushenzi huko anakuja kutujazia server tu hum?
Angalia ndoa nyingi ni tofauti na maneno yasemwayo, ukinunua mashamba mke akanasimamia wakulima wewe unaendelea na mishe zako, ukinunua mashine mwanamke atasagisha mahindi auze unga na kutafuta masoko, ukileta chakula atarekebisha ndani vizuri, ukimpa mimba ataza mtalea watoto huku yeye akichukua jukumu la malezi kwa nafasi kubwa zaidi, sasa hapo wanatakaje au ukute mnataka mpewe mimba mkuu ila hamsemi? unaweza kuta unabishana na ijana akili zinawaza pegs tu!
Hili sasa ni tatizo, kama kuna kundi kubwa la wanawake kwenye mahusiano wanafanya sexb kwa sababu tu wanapewa chochote kitu na mwanaume hili ni tatizo kubwa kuliko.Ni la wote pale tu mnapokuwa mnatupenda… ni la wote kwenye committed relationship, ni la wote kwa mahusiano yenye mwelekeo.
na kinyume chake si la wote.
Watu hao wanafanya tuache kusaidia.Umeongea jambo la msingi sana hata Mimi lilinikuta nilimsaidia Binti mmoja nilikuwa jirani nae akanifungukia shida yake nami ikanigusa nikaamua nimsaidie kiroho safi tangu ni msaidie ikawa kama nifungulia mbwa kila akipata shida lazima aniombe Mimi nimsaidie as if kama vile ni ndugu yake, Baba yake mzazi hama boyfriend wake yaani ndugu yangu inasikitisha kwa kweli
Huyo kaniomba hela ya kula, nimemuambia alete business plan niangalie pa kumsaidia pakubwa si kuongea mamabo ya hela ya kula tu.Suala la mtu kuomba kwa haraka na wewe ukakubali kwa hela hiyo ni biashara yenu wenyewe ya umalaya sisi tunachopinga ni kugeuza mahusiano kama source ya ajira au yakufanya umalaya
Labda useme unataka wanawake wapate nini kwenye mahusiano.Na kama siuzi mwisho wa siku napata nini kwenye hayo mahusiano ili nithaminishe uwepo wangu hapo, assume na mimi nakutaka pia… (umenitongoza na mimi nataka kukubalia)
Sasa hivi hali ni mbaya sana, kuna watu wanakula kuku na mayai kwa sababu ya pesa.Dah kwakweli janga ni kubwa hatari mpaka kuna muda hata sisi wanawake wenyewe tunaogopa! Kuna siku unaweza sema ukapumzishe sehemu kichwa mara anakuja mtu, unasema atleast leo nimepata mchuchu unashangaa anakwambia tunaweza kuondoka wote leo?
Hapa sio kweli mwanamke anatoa K tu. Kila upande ulikua na terms. Upande wa mwanamke terms zilikua loyalty and virginity. Vilevile uko anapoolewa anaenda kuwa mama wa nyumbani, sio career woman au feministNi ujinga mtupu. Hata zamani, mwanaume ulikuwa unaenda kuoa ni kuchukua binti toka kwao. Siku ya harusi (anapotoka kwao) mwanaume ulikuwa unampa dada yako sanduku lina hata chupi atakayovaa bibi harusi. Kila kitu anakiacha kwao anakuja kama alivyozaliwa. Akifika kwenu kila kitu anakikuta. Vyako ni vyenu, vyake alivyochuma kabla ya ndoa anaviacha kwao. Huo ndiyo utamaduni wa kiafrika. Hata katika maandiko imeandikwa mwanamke hapendi huwa anapendwa.
Kitu mwanamke anategemewa kutoa ni K yake na nguvu zake tu, siyo material things
Mnataka kutetewa hata kwenye mambo yasiyokua na mantiki?Nje ya mada; mbona kama leo umetugeka mkuu imekuwaje mtetezi wetu 🫢
Tutofautiane mitazamo: Kwangu mimi dating ni exploration yenye lengo la kumtafuta unayefit nae. Dating haihitaji any kind of heavy investment from both ends.Hili suala halipaswi kuwa na utata, hakuna mtu anayemchezea mwenzake katika mahusiano ya dating, pande zote wanaume na wanawake inaweza kutokea wakati wowote mmojawapo akaona hawezi kuwa na future na mwenzake akayamaliza mahusiano.
Ikitokea mwanamke ndiye amemaliza mahusiano huwa haisemwi alikuwa anamchezea mwanaume ila ikitokea mwanaume ndio anaona mahusiano hayawezi kuendelea akayamaliza inasemwa alikuwa anamchezea mwanamke! Hii Ni double standard ambayo siwezi kuielewa kirahisi, labda kwa sababu wanawake wengi huwa hawajiendelezi kibinafsi hata katika mahusiano ya dating badala yake huwa wanabaki tegemezi tu kwa mwanaume kama tayari wameolewa vile kwa hiyo mahusiano yakiisha ghafla wanakuwa hawana mueleko wowote.
Nitazungumza na vijana wasuburie hata wiki moja kabla hawajaomba game kwa mabinti wanaokutana nao na kuona wanaweza kuwa na future pamoja, na nyie waambie mabinti wasuburie hata mwezi mmoja kabla ya kuanza kuombaomba.Dah kwakweli janga ni kubwa hatari mpaka kuna muda hata sisi wanawake wenyewe tunaogopa! Kuna siku unaweza sema ukapumzishe sehemu kichwa mara anakuja mtu, unasema atleast leo nimepata mchuchu unashangaa anakwambia tunaweza kuondoka wote leo?
Na mwanaume akiwa anatumia resources kama fedha, muda na hapati chochote kutoka kwako uoni ni kupoteza muda wake alafu mkiitwa ni wabinafsi mnakataaNi la wote pale tu mnapokuwa mnatupenda… ni la wote kwenye committed relationship, ni la wote kwa mahusiano yenye mwelekeo.
na kinyume chake si la wote.
Ni suala la muda tu utaanza kuelewa threads zanguKuna wakati nilikuwa nafikiri labda ni kesi moja moja tu (isolated cases) za wanawake wachache wa mjini wanaopenda maisha ya kung'aa ila nimekuja kugundua sasa imekuwa mtindo wa maisha kabisa wa wanawake wengi hasa wanawake late 90's na vibinti vya 2000's.
Exchange of value wala tofauti na sio biashara moja kwa moja! kwenye mahusiano kutoa pesa si malipo, ni sehemu ya mapenzi au makubaliano tu, sema kwa sumu mnazomezeshana hapa hata tuelezane ipi hutokaa ukanieelewa!Kama hauna chochote cha kuoffer kwa mahusiano kwanini unaona ustahili kupewa hela na mwanaume?
unataka usawa kwenye kila kitu hadi kutongozwa Yoda! 😂Unaposema wanawake huwa wanaombwa sehemu za siri (sex) ni kwamba wanawake huwa hawatamani kufanya ngono kabisa kabla ya ndoa na wanaweza kuvumilia kirahisi kutofanya ngono mpaka waolewe?? Mimi nafikiri wanawake nao huwa wanatamani kufanya ngono mara nyingi tu ila huwa hawana ujasiri au sijui ndio maadili inakuwa vigumu kuanza kumuambia mwanaume wakafanye ngono kwa sababu wana hamu kwa wanabaki wanategea mwanaume ndio aanze ili waanze kujibaraguza.
Vesi za sijui nikinywa maji nakuona kwenye glasi, zishapitwa na wakati. Mambo lazima yaende chap chap.Dah kwakweli janga ni kubwa hatari mpaka kuna muda hata sisi wanawake wenyewe tunaogopa! Kuna siku unaweza sema ukapumzishe sehemu kichwa mara anakuja mtu, unasema atleast leo nimepata mchuchu unashangaa anakwambia tunaweza kuondoka wote leo?
Hili suala limeshakua gumu sasa,Tutofautiane mitazamo: Kwangu mimi dating ni exploration yenye lengo la kumtafuta unayefit nae. Dating haihitaji any kind of heavy investment from both ends.
1.Tunaweza kuamua kukutana kanisani tuongee
2.coffee shop ambayo bill itakuwa “afu 20” tutashare hiyo bill,
3. naweza kukuletea zawadi ya boxa ukaniletea zawadi ya mswaki,
4.tunaweza kukutana kijiwe cha chips (ofcoz sitakuja)
5.tunaweza kwenda at any poshy restaurant hata bill ije laki 4 tutashare. (Age gape izingatiwe, sababu tell me mtu wa miaka 46 anatafuta nini kwa mtu wa miaka 32, Mtu wa miaka 34 anatafuta nini kwa mtu wa miaka 18?)
it’s dating…. vivyo hivyo haipaswi kuhusisha suala zima la sex…. dating haifanyiki kwenye nyumba ya mhusika yeyote (kwao/kwake/kwetu/kwangu) Tukikubaliana tukafanya commitment ndipo tunayaita mahusiano ambayo yanahusisha mawasiliano ya mara kwa mara, sex na mipango mingine …. Again hizi ni standards zangu ambazo haziamui chochote kwenye jamii.
Dating sio mahusiano ni hatua kuelekea mahusiano, tukiingia sasa kwenye mahusiano ndio mjadala wangu na wewe unakuja, yaani unamaanisha mahusiano hayapaswi kuwa na accountability yoyote, yeyote muda wowote akiamua kuyasitisha anaondoka shwaaa, asisemwe wala asilaumiwe.
Kwenye relationship dynamics, kila gender inabeba risk zake , muda ni risk factor kwa mwanamke kwenye mambo mengi sana, hiyo accountability unayo kwepa hapa Yoda, ndio iliyoiweka jamii kwenye Prostitution era tuliyopo sasa.
Katika habari yako hiyo mbona mnanormalize umalaya, na mnakataa gharama na kwensekwense zake????
Hii imenyooka kabisaMuda wa kukuomba inategemea ulivyokaa, unavyokuja ndivyo nakupokea na shida zako za ukoo😂
Yanaumiza sana ukiyafikiria sana unatamani kuhama jamii husika kabisa! mfano ushoga ulipoanza kujifunua mitandaoni enzi za kina james delicious, ilinipa shock mpaka kuja kuzoea kukutana na haya matukio! ukisema usichukulie kama udhaifu inakuaffect vibaya unaogopa hata kuwa na watoto kabisa!Sasa hivi hali ni mbaya sana, kuna watu wanakula kuku na mayai kwa sababu ya pesa.
Na familia imekubali jambo hilo kama kawaida.
Ndiyo maana nawaambia haya mambo ukiyaelewa kwa kina huwezi kuyatetea.
Acha tukae kwenye nafasi zetu bro, unatukanda sana mzee!Mnataka kutetewa hata kwenye mambo yasiyokua na mantiki?