tutazungumza babaNitazungumza na vijana wasuburie hata wiki moja kabla hawajaomba game kwa mabinti wanaokutana nao na kuona wanaweza kuwa na future pamoja, na nyie waambie mabinti wasuburie hata mwezi mmoja kabla ya kuanza kuombaomba.
Kama wewe umeombwa sex muda mfupi na wewe ukakubali kwa hela kwanini baadae ukiachwa ulalamike?Kwahiyo kipi ni kipi? mbona kama kila kitu ni kibaya kwenu?
Ulichosema hapo juu kina utofauti upi na nilichosema ninyi wote ni omba omba mnatofautiana tu mnachoombana?
Nyie mbona hamtoi helaExchange of value wala tofauti na sio biashara moja kwa moja! kwenye mahusiano kutoa pesa si malipo, ni sehemu ya mapenzi au makubaliano tu, sema kwa sumu mnazomezeshana hapa hata tuelezane ipi hutokaa ukanieelewa!
khee! hata kama ndio unipitilizishe ulingoni hata kufahamiana tu jina? Hapana kwakweli..Vesi za sijui nikinywa maji nakuona kwenye glasi, zishapitwa na wakati. Mambo lazima yaende chap chap.
Tunatoa ushirikiano na kutii tu babaNyie mbona hamtoi hela
Unachanganya mambo mawili kwa wakati mmoja, kwanza unanilaumu mimi kwa makosa ya huyo nani sijuiβ¦. Tunatakiwa tujadili situations, na mifano either yetu binafsi au ya wenzetu tuitumie kukazia hoja.Na mwanaume akiwa anatumia resources kama fedha, muda na hapati chochote kutoka kwako uoni ni kupoteza muda wake alafu mkiitwa ni wabinafsi mnakataa
Kila mwanamke anajiuza. Walichotofautina ni mbinu tu. Kuna wanaojiuza direct na wanaojiuza indirect. Ukielewa hilo hauta-complicate sana mambo.Hili suala limeshakua gumu sasa,
Pamoja na hivyo inaonekana bongo hii haijalishi mtu yuko kwenye dating au mahusiano committed kwa hivyo vigezo vyako bado pesa zinaombwa tu, watu wanapigwa vizinga tu, ni kama hakuna tofauti yoyote, nilisikia siku hizi kuna hadi mke kumdanga mume!
Unajua kuna namna mwanaume anaweza kugharamia au kutoa pesa isiwe biashara na kuna namna inageuka biashara, mfano mwanaume akikitoa out kwa lunch au dinner kibongo atagharimia tu kwa sababu wanawake wengi wa bongo hawana utamaduni huo, kama umepanga may boyfriend huwa anakuja kula au kulala kwako wakati wowote unaweza kumuomba akuchangie kodi au gesi mara nyingine. Sasa unakuta mtu mnaishi mbali labda mnakutana hata mara moja tu kwa wiki lakini mwanamke unataka kupewa pesa na kugharimiwa kila kitu na mwanaume, hii ndio inakuwa biashara sasa.Exchange of value wala tofauti na sio biashara moja kwa moja! kwenye mahusiano kutoa pesa si malipo, ni sehemu ya mapenzi au makubaliano tu, sema kwa sumu mnazomezeshana hapa hata tuelezane ipi hutokaa ukanieelewa!
Unataka kuniambia mwanamke hapendi sex? Kuna vitu vingi tunaangalia kwa mwanamke zaidi ya sex kwa yule ambaye tunaona anafaa kwaajili ya kuolewa kama ni sex tunaweza kuipata bila hata kuwa na mahusianoNadhani mimi ndiyo sielewi. Kwani mwanamume anamtafuta mwanamke ili wafanye biashara? Au wajenge barabara? Ninavyojua Mwanaume unamtafuta Mwanamke ili akupe K. Mwanaume unategemea nini kutoka kwa mwanamke. Nieleze wewe. Na yeye anatafuta mwanaume ili akamtimizie shida zake si dushe ujue
Binafsi najua sababu ya hiliβ¦.Hili suala limeshakua gumu sasa,
Pamoja na hivyo inaonekana bongo hii haijalishi mtu yuko kwenye dating au mahusiano committed kwa hivyo vigezo vyako bado pesa zinaombwa tu, watu wanapigwa vizinga tu, ni kama hakuna tofauti yoyote, nilisikia siku hizi kuna hadi mke kumdanga mume!
Mwanzo wa mahusiano hamyaongei haya ? Yes, sababu mnapenda kujenga mahusiano katika misingi ya uongo!!!!!Unajua kuna namna mwanaume anaweza kugharamia au kutoa pesa isiwe biashara na kuna namna inageuka biashara, mfano mwanaume akikitoa out kwa lunch au dinner kibongo atagharimia tu kwa sababu wanawake wengi wa bongo hawana utamaduni huo, kama umepanga may boyfriend huwa anakuja kula au kulala kwako wakati wowote unaweza kumuomba akuchangie kodi au gesi mara nyingine. Sasa unakuta mtu mnaishi mbali labda mnakutana hata mara moja tu kwa wiki lakini mwanamke unataka kupewa pesa na kugharimiwa kila kitu na mwanaume, hii ndio inakuwa biashara sasa.
Kwanini wiki vs mwezi? ππππNitazungumza na vijana wasuburie hata wiki moja kabla hawajaomba game kwa mabinti wanaokutana nao na kuona wanaweza kuwa na future pamoja, na nyie waambie mabinti wasuburie hata mwezi mmoja kabla ya kuanza kuombaomba.
Mchakato wa kuwa Mume mwanamme anaanziwa kudangwa kwenye mahari siku zote. Bila mahari hakuna ndoa.Hili suala limeshakua gumu sasa,
Pamoja na hivyo inaonekana bongo hii haijalishi mtu yuko kwenye dating au mahusiano committed kwa hivyo vigezo vyako bado pesa zinaombwa tu, watu wanapigwa vizinga tu, ni kama hakuna tofauti yoyote, nilisikia siku hizi kuna hadi mke kumdanga mume!
Hujaelewa somo.Kwanini wiki vs mwezi? ππππ
Huko juu nimemwambia kiranga awaambie wanaume kuwa dating haitakiwi kuhusisha sex, kaniruka kasema nafanya whataboutism! π
See! Aliyenijibu alielewa msingi wa swali langu, amenijibu kwa usahihi kiasi hata sijahangaika kumjibu tena, labda amenielewa sababu tumekutana katika hii mijadala mara nyingi sana.Labda useme unataka wanawake wapate nini kwenye mahusiano.
Mimi ninachofahamu kwenye mahusiano ni kumjenga kila mmoja auwe the best version of himself/ herself huku mkiwa na malengo kwamba siku mmoja mtakuwa familia rasmi labda na watoto wenu. Sidhani kama mahusiano ni sehemu ya mwanamke kuchuma pesa za mwanaume, inaweza kutokea mara moja umetolewa lunch, dinner au vacation Zanzibar, umepewa zawadi ya birthday n.k ikabidi mwanaume agharamike basi shukuru lakini sio kuwa entitled au kumganda kijana wa watu akuhuhudimie kama baba yako au kumgeuza ATM.
Nimeelewa kila kitu Kiranga.Hujaelewa somo.
Dating inaweza kuhusisha sex.
Mwanamme na mwanamke wote wakafurahia sex. Bila pesa wala mali.
Tatizo wewe umeshafanya sex ni bidhaa ya kibiashara ya mwanamke, mwanamme anauziwa.
Haya ni mawazo ya kimasikini sana.
Generalization mbaya sana hii, tukigeneralize mambo na sisi mnaanza kujenga hoja ndefu ndefu.Kila mwanamke anajiuza. Walichotofautina ni mbinu tu. Kuna wanaojiuza direct na wanaojiuza indirect. Ukielewa hilo hauta-complicate sana mambo.
unauhakika gani hatutoi?Nyie mbona hamtoi hela
Watu β kibao β maana yake kama kwenye mahusiano kuna kitu natoa na kuna kitu unatoa x na x zinakatika gharama inabaki bure kwamba sote tumegharamika.Kama hauuzi basi utapata kile ambacho nawe unakitoa. Kwa tamaduni zetu waafrika majukumu na wajibu wa kila jinsia kwenye mahusiano/ndoa unajulikana.
Hapo aya ya mwisho umesema kwamba kuna wanaume wanaendesha mahusiano bure?
Mimi huwa sipendi mwanamke mbabaishaji na mwenye tamaa za kijinga nikishaona hivi huwa naachana nae mapema hata kugonga sikugongiDuhh huyu naye njaa sana! nashindwa kumtetea..