Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Ila hapo ukisikiliza yeye hajasema hivyo ila watangazaji ndio wanamlazimisha aseme hvyo na akaunasua mtego.Katika mahojiano yake na wasafi MZUNGU huyo ameoneshwa kukerwa na tabia ya mademu wa bongo kuomba omba hela, MZUNGU huyo amedai ni OMBA OMBA sana, katika kipindi CHA wasafi the switch, akiwa na Aaliyah na mchaga og.
Shikilia hapohapo mkuu, wanawake walionyooka bado wapo wengi tu!Mimi huwa sipendi mwanamke mbabaishaji na mwenye tamaa za kijinga nikishaona hivi huwa naachana nae mapema hata kugonga sikugongi
Huyo so mgeni ni content creator hapa bongoIla hapo ukisikiliza yeye hajasema hivyo ila watangazaji ndio wanamlazimisha aseme hvyo na akaunasua mtego.
Ukisema session moja ni 50k sioni shida, ni heri kuliko kutwishwa mizigo isiyonihusu.Toa pesa mzee wewe! Pesa mkononi mguu begani!
Ndio maana nimekuuliza wakati mwanaume anatoa fedha kwako wewe unatoa Nini in return kwenye mahusiano apart from sex ili kweli tuyaite mahusianoExchange of value wala tofauti na sio biashara moja kwa moja! kwenye mahusiano kutoa pesa si malipo, ni sehemu ya mapenzi au makubaliano tu, sema kwa sumu mnazomezeshana hapa hata tuelezane ipi hutokaa ukanieelewa!
Ukileta mazoea nakutwisha tu, mwendo wa kuviziana, gesi utanunua tu😎Ukisema session moja ni 50k sioni shida, ni heri kuliko kutwishwa mizigo isiyonihusu.
ushirikiano, utii, mawazo na kujenga maisha ka pamoja kwa namna nyingine!Ndio maana nimekuuliza wakati mwanaume anatoa fedha kwako wewe unatoa Nini in return kwenye mahusiano apart from sex ili kweli tuyaite mahusiano
We mi majuzi tu nilipigwa na kitu kizito, Nimekutana na mtu yuko very excited, He’s was all nice, Akaomba namba mimi ni nani nimnyime wakati naona kabisa anafaa. Baadae kumuuliza whatsup mbona ulionekana na bashasha sana? kaniambia kumbe ametoka kumaliza masters huko wapi sijui , karudi amekabidhiwa ofisi mpya na majukumu mapya kwahiyo yuko excited anataka kusherehekea hiyo milestone… Mtongozo ulianzia mbali, mwisho wa siku kumbe mwili wangu ndio unatakiwa kuwa uwanja wa sherehe!!!!!Dah kwakweli janga ni kubwa hatari mpaka kuna muda hata sisi wanawake wenyewe tunaogopa! Kuna siku unaweza sema ukapumzishe sehemu kichwa mara anakuja mtu, unasema atleast leo nimepata mchuchu unashangaa anakwambia tunaweza kuondoka wote leo?
Hapana, kila mtu abebe mzigo wake. Ila kwa vile nataka kuteleza, I'll pay you every time we meetUkileta mazoea nakutwisha tu, mwendo wa kuviziana, gesi utanunua tu😎
Fair!Mimi huwa sipendi mwanamke mbabaishaji na mwenye tamaa za kijinga nikishaona hivi huwa naachana nae mapema hata kugonga sikugongi
Yapo masuala kama kama leadership, protection, provision ambayo mwanaume anawajibika nayo. Yapo masuala kama loyalty, complimenting, peace of mind ambayo mwanamke anawajibika. Hayo masuala sio transactional. Kilichoguswa kwenye mada ni trend ya commercialization of relationship inayofanywa na wanawakeWatu “ kibao “ maana yake kama kwenye mahusiano kuna kitu natoa na kuna kitu unatoa x na x zinakatika gharama inabaki bure kwamba sote tumegharamika.
Kakuonaje? Kaona mwili wako unafaa kwa matumizi ya kusherehekea😅😅😅We mi majuzi tu nilipigwa na kitu kizito, Nimekutana na mtu yuko very excited, He’s was all nice, Akaomba namba mimi ni nani nimnyime wakati naona kabisa anafaa. Baadae kumuuliza whatsup mbona ulionekana na bashasha sana? kaniambia kumbe ametoka kumaliza masters huko wapi sijui , karudi amekabidhiwa ofisi mpya na majukumu mapya kwahiyo yuko excited anataka kusherehekea hiyo milestone… Mtongozo ulianzia mbali, mwisho wa siku kumbe mwili wangu ndio unatakiwa kuwa uwanja wa sherehe!!!!!
Niliquestion my life decisions sana siku hiyo 😂 like huyu kanionaje, nikamuuliza umenichagua kutoka kwa watu 21 tulikuwa mule (airport lounge) , did i give you any sign kuwa i wanted you? Yaani umenichagua ili ukafurahie furaha yako , nilichambaaaa! Nikamwambia umeniona mi malaya eenhe, akanijibu ndio 🤣 Nusu nilie.
Alooo kwa mara ya kwanza nilijuta kuwepo kwenye hiki kizazi.
Kwahiyo bwana wanaume “wengi” wana commitment kuwa sisi sote ni malaya na ukimkazia anaanza kuku-gaslit! yooo! i can’t!
Inabidi na nyinyi mtoe pesa kiasi fulani ila isiwe sawa na mwanaumeushirikiano, utii, mawazo na kujenga maisha ka pamoja kwa namna nyingine!
hebu nikuulize swali, wewe unategemea ukitoa pesa mwanamke atoe nini?
Dada'ake, mimi sikuhizi hata kutoka naona kibarua kama sina sababu ya msingi najifungia ndani na laptop yangu nafanya yanayonihusu! nikitaka kinywaji nanywea ndani.. maana huko nje si mchezo! kuna siku tumetoka marafiki watatu, mmoja wa kiume kaja na rafkiake ambaye alikuwa safarini, sijui aliona nimezubaa ikabidi atafute huko malaya amlete hapo, maana kila akinicheki nakwepa na sitaki mazoea, kumbe anataka alale na mtu kesho aamkie zake chuga, sasa what thaa fvck is that? wanaume wanatudharau sana, kuepusha hiyo trauma huwa sitaki kabisa kukutana na hizi species bora kichache tu!We mi majuzi tu nilipigwa na kitu kizito, Nimekutana na mtu yuko very excited, He’s was all nice, Akaomba namba mimi ni nani nimnyime wakati naona kabisa anafaa. Baadae kumuuliza whatsup mbona ulionekana na bashasha sana? kaniambia kumbe ametoka kumaliza masters huko wapi sijui , karudi amekabidhiwa ofisi mpya na majukumu mapya kwahiyo yuko excited anataka kusherehekea hiyo milestone… Mtongozo ulianzia mbali, mwisho wa siku kumbe mwili wangu ndio unatakiwa kuwa uwanja wa sherehe!!!!!
Niliquestion my life decisions sana siku hiyo 😂 like huyu kanionaje, nikamuuliza umenichagua kutoka kwa watu 21 tulikuwa mule (airport lounge) , did i give you any sign kuwa i wanted you? Yaani umenichagua ili ukafurahie furaha yako , nilichambaaaa! Nikamwambia umeniona mi malaya eenhe, akanijibu ndio 🤣 Nusu nilie.
Alooo kwa mara ya kwanza nilijuta kuwepo kwenye hiki kizazi.
Kwahiyo bwana wanaume “wengi” wana commitment kuwa sisi sote ni malaya na ukimkazia anaanza kuku-gaslit! yooo! i can’t!
Dah! Nimecheka sanaWe mi majuzi tu nilipigwa na kitu kizito, Nimekutana na mtu yuko very excited, He’s was all nice, Akaomba namba mimi ni nani nimnyime wakati naona kabisa anafaa. Baadae kumuuliza whatsup mbona ulionekana na bashasha sana? kaniambia kumbe ametoka kumaliza masters huko wapi sijui , karudi amekabidhiwa ofisi mpya na majukumu mapya kwahiyo yuko excited anataka kusherehekea hiyo milestone… Mtongozo ulianzia mbali, mwisho wa siku kumbe mwili wangu ndio unatakiwa kuwa uwanja wa sherehe!!!!!
Niliquestion my life decisions sana siku hiyo 😂 like huyu kanionaje, nikamuuliza umenichagua kutoka kwa watu 21 tulikuwa mule (airport lounge) , did i give you any sign kuwa i wanted you? Yaani umenichagua ili ukafurahie furaha yako , nilichambaaaa! Nikamwambia umeniona mi malaya eenhe, akanijibu ndio 🤣 Nusu nilie.
Alooo kwa mara ya kwanza nilijuta kuwepo kwenye hiki kizazi.
Kwahiyo bwana wanaume “wengi” wana commitment kuwa sisi sote ni malaya na ukimkazia anaanza kuku-gaslit! yooo! i can’t!
Mbona comment zako tangu mwanzo naona unatetea hii kasumba ya wanawake wa kisasa ya give sex-get money. Kwamba hiyo sio biashara?Generalization mbaya sana hii, tukigeneralize mambo na sisi mnaanza kujenga hoja ndefu ndefu.
Siku hizi naona ndio katrend, kijana anajipangia bei akifika anakata kabisa hii 200k nampa huyu mbwa, ingine room,hii vinywaji.. ila tulipofikia duh🙌Hapana, kila mtu abebe mzigo wake. Ila kwa vile nataka kuteleza, I'll pay you every time we meet
Unataka upewe smartphone halafu wewe unatoa pea mbili za boxer ndio unasema umetoa hapounauhakika gani hatutoi?
Kwenye mahusiano kila mtu anatoa kila kitu, labda kwa mzani usio sawa.
Kwenye kununuana aliyekuja kununua ndio alipie, unataka uje kuninunua mie ndio nikulipe? 😂
kama sina nitoe nini?Inabidi na nyinyi mtoe pesa kiasi fulani ila isiwe sawa na mwanaume