Siku hizi hata usipomuomba mwanamke k utaomba hela tu Kwanza ataanza na hili samahani unaweza kunisaidia bando ukishampa tu bando ni kama vile umefungulia mbwa ataanza kuomba shida zske zingine mara ooh Nina njaa, gas imeisha n.k in short wanawake kwenye suala la kuomba omba ovyo limekuwa ni kama tabiaUkitaka mahusiano yasiyo na return oa mbona simple..!!
Kitendo cha kuomba kei kabla ya ndoa means unataka kuonja ili usepe.
Sasa gharama za uchakavu wa mashine uliyotumia ulitaka alipe nani? ๐น
Uwii ila wanawake tunapitia mengi! Kwanini ukavumilie sura mbaya lakini lol๐คฃSikuhizi wanaume wengi wamejanjaruka..unizungushe ivo ili baadae ukikubali nijisome bila kujijua kwenye confession page ya raphee kule insta ukisema ooh mume anahudumia, hana mapungufu makubwa ya kitabia, ila ana sura mbaya naona aibu hata kuongozana nae, kwenye sex ni kama ananibaka Seran
Nje ya mada, mtafute cocastic ana bahasha yakoNimpe nini kwa uchoyo? ๐น๐น๐น
Wee mpuuzi kweli..!! Kwahiyo anitumie huku naendelea kumjengea trust ya nini??
Kupanua mnachukulia easy wenyewe ๐น
Hivi nyie kutoa kei mnaona simple eti?
Kupelekewa moto mnaona jambo rahisi?
Em jaribu wewe uone ๐น๐น๐
Kwa sababu wanaume unaowataka hawakutongozi, wakikutongoza wao ni kupiga na kusepa, unaowataka hawana hela ya kukuhudumia unaona ukiolewa nae familia italala njaa, au unaowataka wana mapungufu ya kitabia usioweza ya vumilia.Uwii ila wanawake tunapitia mengi! Kwanini ukavumilie sura mbaya lakini lol๐คฃ
Duhh, kwanini usitafute pesa zako instead ukasubiri huyo mume taratibu! Mimi siwezi kuolewa na mwanaume ilimradi kisa umri, hakuna tuzo huko ndoani, despite the divorce rate is still rising lol ๐Kwa sababu wanaume unaowataka hawakutongozi, wakikutongoza wao ni kupiga na kusepa, unaowataka hawana hela ya kukuhudumia unaona ukiolewa nae familia italala njaa, au unaowataka wana mapungufu ya kitabia usioweza ya vumilia.
Hapo kumbuka umri haukusubiri..mtu afanyeje sasa Seran
Kwenye kutafta pesa zako sawa utatafutaDuhh, kwanini usitafute pesa zako instead ukasubiri huyo mume taratibu!
kwenye hii thread ulitoboa kweli?Hee kaka! sio sisi sasa, hii ni mada tu, naona unaanza kuwa serious! nisije nikasema ndio, tukakutana kwenye mada za mungu ukaniita we malaya wewe ๐
huu mtazamo una upotoshaji mkubwa, i know women with money na bado wanategemea kuwa provided for with their men. utegemezi ni inborn character.Sio dhaifu, asilimia kubwa ya wanawake hawana pesa! na wengi wako chini ya wanaume ndiomaana wanapewa hii title ya kuwa providers, sasa wanawake tutoe pesa ya nini mkuu mbona hivyo? Hatuna pesa wala sio kuwa selfish!
Nilinyooshwa mwisho wa siku tulielewana!kwenye hii thread ulitoboa kweli?
maana jamaa anakabia kwa juu sana.
hizo ni geresha tu, ila pesa halisi mnazo ninyi ๐huu mtazamo una upotoshaji mkubwa, i know women with money na bado wanategemea kuwa provided for with their men. utegemezi ni inborn character.
Nilitaka kukutag jana,sijui ulipotelea wapi! tulijua kunyooshwa, wanawake wa2 vs kundi kubwa sana la anti femin. yoda ametuhama tumebaki na mtetezi wewe na mlaji mmoja huko juu ๐Sio kwamba unaombwa ukiomba? Usipoomba watapata wapi mawasiliano na wewe ili wakuombe? Anyway, mambo ni mengi labda zipo namna za kuombwa bila kuomba.
Hahaha, Sasa mkishaanza kunitag mtafanya nitolewe kwenye vikao vyetu sababu nawatetea. Tusifike huko.Nilitaka kukutag jana,sijui ulipotelea wapi! tulijua kunyooshwa, wanawake wa2 vs kundi kubwa sana la anti femin. yoda ametuhama tumebaki na mtetezi wewe na mlaji mmoja huko juu ๐
Aanh mkuu, wanakutoaje sasa sisi tutapambana wenyewe mpaka lini? Maana hawa vijana hawachekeshi ๐Hahaha, Sasa mkishaanza kunitag mtafanya nitolewe kwenye vikao vyetu sababu nawatetea. Tusifike huko.
๐ kazi mnayo.Aanh mkuu, wanakutoaje sasa sisi tutapambana wenyewe mpaka lini? Maana hawa vijana hawachekeshi ๐
BACK THEN MY WIFE USED HAVE MORE MONEY THAN I DID, STILL I HAD TO PROVIDE HER MONEY FOR HER NEEDS.hizo ni geresha tu, ila pesa halisi mnazo ninyi ๐
Sio kitoto!๐ kazi mnayo.