Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

BACK THEN MY WIFE USED HAVE MORE MONEY THAN I DID, STILL I HAD TO PROVIDE HER MONEY FOR HER NEEDS.
Kumbe una mke, mbona ulisema huna? ๐Ÿคฃ anyways, u should provide more and more mkuu๐Ÿ˜ƒ
 
Kumbe una mke, mbona ulisema huna? ๐Ÿคฃ anyways, u should provide more and more mkuu๐Ÿ˜ƒ
HAPA YENYEWE IMETOKEA TU.
I RARELY/HARDLY PUBLISH MATTERS RELATED TO MY FAMILY ONLINE, BUT YES, I'M A FAMILY MAN SO COME JOIN ME IN MY CRIB
 
Huyo kiranga anajua hapa USA ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Bongo usipoomba pesa utapigwa rungu la kipepe na mikopo ya kausha damu.. halafu mwisho wa siku jamaa anasepa anaenda kuoa mwingine anayejua kutumia pesa..!!
Anaelewa sana ๐Ÿ˜‚
 
Hii ni kweli kabisa, siku hizi huko Afrika ni " kula na kulipa". basi jana wakati najibu jibu uzi hapa nikasema ngoja niende mtaa wa pili wa instagram maana huko mie nakuita ni "RED LIGHT STREET". Kuna dada mmoja wa kibongo yupo vizuri ni mke wa mtu na anonekana mumewe ana uwezo na huyo dada ni muajiriwa wa serikali anaonekana ni boss kidogo . Nilikuta ametupia picha moja matata sana na kwa vile ana lile umbo ambalo ndio wanawake niwapendao yaani " medium size" mie uwa sipendi makatapila wale wenye maumbo na matako makubwa kama wabongo wengi wayapendao, basi nili like ile photo yake na kutupia comment ya maneno mawili tu " absolutely stunning" nikaweka na emoji ka moyo. Baada ya kutupia tu ile comment nikaona message imeingia baadae kidogo kwenye inbox. Kumbe ni yule dada anashukuru kwa comment yangu, baadae tukachat kidogo kwa kuheshimiana tu. Mwishoni nikamwambia mwaka huu lazima nitie timu huko bongo, basi hapo ndio nikawa nimechokoza zali. Nilikaribishwa sana bongo na kupewa orodha ya vitu nimpelekee nikienda, perfumes nikapewa na list azipendazo, viatu, pochi na iphone 17. Nilimwambia tu hamna shida.
Sasa swali langu waungwana, hivi kwa hio list niliopewa nimnunulie hivyo vitu hapo si ina maana tayari huyo ni mbuzi keshageukia kiblah tayari kwa kuchinjwa!! ninachosema ni kua hii mitandao imefanya wanawake wamekua rahisi sana, na huyo ni mfanyakazi wa umma na mume wake anaonekana anajiweza,.
 
Sisi tunajua wanaume mna pesa lazima tuwaombe tu iwe mnataka Kei au hamtaki..!! ๐Ÿ˜น
 
Kiranga ukija bongo uniletee iPhone 18 toleo jipya la mwaka huu. (Bado haijatoka, mpaka ukija itakuwa tayari) pochi, viatu na perfume ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Nimecheka sana aiseee..!!
Sasa wewe umesema lazima utie timu bongo, ulitaka akukaribishe mgeni mikono mitupu na huko ndo HQ ya dollars jamani..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Nje ya mada, mtafute cocastic ana bahasha yako
G hutaki mambo mengi ni mwendo wa kibahasha ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kiwe na mpunga sasa sio kibahasha cha maneno matupu..!!

@cocastica hiyo bahasha yangu utoe hela ya pipi tu..!! Ole wako uzidishe matumizi ntakuchapa..!!
 
Nitakuletea vyote pamoja na pochi ila na wewe unifungulie kipochi manyoya chako.
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Mjini hakuna cha bure sembuse Kei?
 
Yule mwana kasepa nilikuwa naongea naye juzijuzi eti naye analalamika Bongo pelasopelaso yuko viwanja anapiga deal.

Nikasema nyie watu hamna aibu, na wewe mwenyenchi unalalamika Bongo pelaso tena?
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Mtoto wa mzee wa Lupaso naye kaja kiwanja?

Sasa hivi Abdul ndio anatamba zamu yake ishaisha..!! Hii nchi ya hovyo sana hakuna aliye salama wanabadilikiana hadi wenyewe kwa wenyewe..!!

Mpe madeal mwanao sasa..
 
Mkuu tayari huyo, hilo furushi la zawadi litamfanya ajihisi anadeni kwako na atahisi ni lazima akupe zawadi kubwa zaidi ambayo wewe utaifurahia zaidi wakati kwa kawaida hatokuwa nayo๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Lazima akupe Kei tu ndo kitu anajua atakuwa kakuzawadia cause wanaume wanajua hii ndo zawadi kubwa kutoka kwa mwnamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ