Hii ni biashara ya kijinga kwa sababu kudinyana wote mnapata utamu na wanaume wakigoma kulipia mbunye wanawake watapata wapi mahitaji yao ya kudinywa?Wanawake wanamaanisha ukitaka mbunye utoe hela sababu umewaomba wakupe. Ni mabadirishano ya pesa na mbunye sasa sijajua na mwanamke akimtaka mwanaume ampe pesa pia.So, ni biashara ileile tu kwa kifupi...wengine wameamua kuifanya iwe biashara yao halali kwao na wengine basi wanaifanya kwa mgongo wa mwanaume ndo mtoaji. kama ingekuwa wakati wa barter trade basi tungekuwa tunabadirishana Mbunye kwa chumvi au mbunye kwa vinyago, mbunye kwa shanga au kioo.
Huyu ulimuomba mbunye hukumuomba?Kwanza lazima uwelewe sio wanaume ni sawa ila Kuna baadhi ya vitu tunashabiana same to them sio kila mwanaume anakuja kwako ili ale mzigo asepe ngoja nikupe mfano halisia ambao nimekutana nayo Kuna manzi nilikuwa nae karibu tukawa marafiki then nikamtongoza akakubali niwe mpenzi wake hapo hatujakutana face to face tunajuana kupitia picha akawa Kuna baadhi ya mahitaji yake ananiomba me nikawa namgaia vizuri Kama vocha, kula na bill wakati anumwa Sasa tukapanga appointment baada ya mwezi kupita ya kuonana kwa mara ya Kwanza tukapanga siku na muda wenyewe ikafika siku yenyewe nimefika sehemu ya tukio manzi bado hajatokea nikamcheki akaniambia eti ndio ANAAMKA? Nikasema ebu niweke benefit of doubt nisimuhukumu moja kwa moja nikasema ebu nimsubirie kidogo akanipigia simu akaniomba nimtumie nauli mind you anapokaa na sehemu ya kukutania ni karibu sana lakini akaniomba nauli Mimi nikamjibu wewe njoo kwa nauli yako ukifika me nitalipa au Mimi nakurequestia bolt akanijibu eti ni RISK yeye kuja anaogopa na Hilo la kulipa bolt juu kwa juu kakataa anataka nimtumie yeye kama yeye ndugu Seran binti kiziwi mna maoni gani kwenye hili? Maana mnaonaga kama vile tunawaonea
🤣 Kuna mambo hamtuonei, hata sisi tunafahamu kuwa hamtuonei!Kwanza lazima uwelewe sio wanaume ni sawa ila Kuna baadhi ya vitu tunashabiana same to them sio kila mwanaume anakuja kwako ili ale mzigo asepe ngoja nikupe mfano halisia ambao nimekutana nayo Kuna manzi nilikuwa nae karibu tukawa marafiki then nikamtongoza akakubali niwe mpenzi wake hapo hatujakutana face to face tunajuana kupitia picha akawa Kuna baadhi ya mahitaji yake ananiomba me nikawa namgaia vizuri Kama vocha, kula na bill wakati anumwa Sasa tukapanga appointment baada ya mwezi kupita ya kuonana kwa mara ya Kwanza tukapanga siku na muda wenyewe ikafika siku yenyewe nimefika sehemu ya tukio manzi bado hajatokea nikamcheki akaniambia eti ndio ANAAMKA? Nikasema ebu niweke benefit of doubt nisimuhukumu moja kwa moja nikasema ebu nimsubirie kidogo akanipigia simu akaniomba nimtumie nauli mind you anapokaa na sehemu ya kukutania ni karibu sana lakini akaniomba nauli Mimi nikamjibu wewe njoo kwa nauli yako ukifika me nitalipa au Mimi nakurequestia bolt akanijibu eti ni RISK yeye kuja anaogopa na Hilo la kulipa bolt juu kwa juu kakataa anataka nimtumie yeye kama yeye ndugu Seran binti kiziwi mna maoni gani kwenye hili? Maana mnaonaga kama vile tunawaonea Kiranga amesha address hili mmeshindwa kumuelewa
Unaona wanawake hawapati faida kwenye kufanyishwa ngono bila kuomba cha ziada kwa sababu ume i commoditize ngono. Umeufanya mwili wako kuwa bidhaa. Unaona faida ni pesa na mali tu. Huoni mwanamke kufurahia tendo hilo bila pesa au mali kuwa ni faida.Sio kuhusu mimi…. kuhusu jamii collectively! Wanawake hawapati faida kwenye kufanyishwa ngono bila kuomba cha ziada, unfortunately.
Tukiijadili hiyo mifumo tutaiondoa? sisi kama wana JF..!?
Kwenye mjadala wa wanawake, hii habari ya kuchomeka wanaume ni whataboutism, ni gender war. Ni kulinganisha mlima Kilimanjaro na kichuguu.Kuna siku niliwatolea mfano hapa, nikawaambia waulizeni wanaotembea na mashugamami/mishangazi kama hawalipwi…!
Tumefikaje katika mabadilishano ya sehemu za siri na pesa ndio unapaswa kuwa mjadala wa msingi.
Nafikiri kinachowagharimu wanawake wengi wa bongo wa mjini ni kutaka kuishi juu zaidi ya uwezo wao binafsi wa kifedha. Unakuta mtu hana hata pesa ya nauli kutoka Mbezi kwenda Sinza kwa boyfriend au kujinunulia pedi ila anataka kusuka nywele za elfu 30, awe na pochi kali, mafuta ya elfu 20, wigi la elfu 50, anywe sijui Hennessy, Bruto na upuuzi mwingine, hapo sasa ndipo vizinga na kazi ya omba omba inapoanza.Kiranga, kwanza anza kwa kutuambia kwanini mwanaume awe na kundi la wanawake wanaoomba bila mpangilio. Sentensi ya kwanza umetumia neno “wengi” hivyo nami nakurudishia swali, mwanaume anafanya nini na kundi la wanawake wengi wanaoomba bila mpangilio?
Sentensi ya tatu, Walikuwa wanaongea nini mpaka huyo mwanamke aeleze shida za zake zote na familia nzima…
(wanawake ni wajinga sometimes ila sio wajinga kama tunavyotaka kufikiri)
Tena akome haswaa.Alitakaje? Akome😄
Mimi hapa ndio wananishamgaza wanawake kama ni unauza sema unauza na kiasi gani kama anayetaka kununua mtakubaliana hivyo biashara kuliko unajifanya ni wife material unajificha kwenye mahusiano kufanya biashara ya umalayaNyie, mnaokubali na kutetea kudanga.
Kwani wewe hutetei kudanga?
Yani pesa za umalaya mnataka halafu kuitwa malaya hamtaki? 😂
G jamani ndo kila sehemu unanisema kukunyima kitumbua khaaa..!! 😹😹Binti au mabinti? Kwanza kwanini aitoe K yake bila akili. Unajua madhara ya kutoa K? Hujui risks za binti kutoa K wewe. Kila siku mnaongelea masingle maza. Unajua prida jana kaongea ukweli wake? Wewe unataka akusaidie kumaliza uhanga wako, lakini hujui kuwa anaweza kupata mimba na akazaa kitoto kitakachosumbua siyo wewe bali binti na uzao wake wote. Ni haki yake kufika bei maana atakapoibeba wewe hutakuwa unaumia, atakapokuwa anachanika katika kuzaa, utakuwa pembeni tu. Ukimkimbia ndiye atalea kitoto. Ati wanadharaulika, acha hizo na nyie muache kuomba K. Akina Labella wakitukatalia hatuwaoni wabaya au wajinga bali wanacalculate risks. Ni kazi zetu kuhakikisha nao wanaona faida ya kutugea K zao. Acheni akili fupi
Wanaume huwa hawawaachi wanawake kwa sababu wamejipata , Hilo jambo sio kweli kabisa, wanaume wanaweza kuachana na wanawake wao baada ya kukutana na wanawake wanaowapenda zaidi na hii haimaanishi mara zote walikuwa wanampotezea mwanamke muda, tofauti kubwa ni kwamba wanawake wengine pia huachana na wanaume zao katika dating baada ya kukutana na wanaume wanaowapenda zaidi, wenye pesa, mali, umaarafu au wenye malengo ya kuoa kwa haraka, lakini wanaume huwa hawalalamiki wamepotezewa muda.Bahati mbaya sijui kuqoute kifungu kwa kifungu natumia JF via browser.
Kiranga bwana 😀 waambie wanaume hivi: wanapojitafuta, wanapotafuta mwenza wa maisha dating haitakiwi kuhusisha sex.
Wanaume zetu si waaminifu kiasi kwamba wanawake watasema wawakopeshe muda kuelekea kutambuliwa kama “mwenza wa maisha”/mke/life partner etc Tumeshuhudia maelfu ya wanawake wamewakopesha wanaume muda , na mwisho wa siku likija suala la kuchukua mke, mwanaume anaenda kutafuta kwingine anakokujua yeye kwasababu anazozijua yeye. Msemo maarufu wa “amenipotezea muda” ndio ulitokea hapa.
Kwa muktadha huo jamii imeenda ime-evolve ikatengeneza hiki kilichopo sasa hivi, sijui kikao kilikaliwa wapi wakakubaliana wawatoze wanaume pesa hata hizo hizo ndogo kama hawajajipata, au basi watafute waliojipata tayari kuepusha kasheshe za kutumika na kupotezewa muda.
Siijui sababu ya umalaya wa wanaume (wenyewe wanaita nature) lakini naijua sababu ya umalaya kwa wanawake. To me it’s valid.
Na hii ni matokeo ya poor upbringing, watoto wa kike katika early age hawafundishwi independence na financial responsibility. Na zaidi zaidi utamaduni wa kumthaminisha mtoto wa kike na pesa/zawadi kwa jina la mahari umetufikisha hapa Kiranga amelielezea hili hapo juu.Nafikiri kinachowagharimu wanawake wengi wa bongo wa mjini ni kutaka kuishi juu zaidi ya uwezo wao binafsi wa kifedha. Unakuta mtu hana hata pesa ya nauli kutoka Mbezi kwenda Sinza kwa boyfriend au kujinunulia pedi ila anataka kusuka nywele za elfu 30, awe na pochi kali, mafuta ya elfu 20, wigi la elfu 50, anywe sijui Hennessy, Bruto na upuuzi mwingine, hapo sasa ndipo vizinga na kazi ya omba omba inapoanza.
Kuna kuomba kwa utaratibu wewe, na ni ile ukiomba unaomba vitu vya maana but after kujenga trust kwa yule mtu, sasa mtu ndo mmekutana hata mwezi huna, hujamsoma, hajakusoma akakuelewa, ndiyo amerusha verse ya kwanza maara boom ombi la efu50 ya nini sasa tulia usome mchezo siku ukisema unaomba hata mil5 unapewa, na baadaye vikubwa vinafuataKama unadhani tusioomba ndio tunaonekana tuna thamani, pole…. karibu kwenye ulimwengu wa kike ujifunze.
Halafu kwa uombaomba wa hivi hata apewe milioni hawezi kufanya kitu cha maana kuanza kujiondoa katika hali hiyo.Nafikiri kinachowagharimu wanawake wengi wa bongo wa mjini ni kutaka kuishi juu zaidi ya uwezo wao binafsi wa kifedha. Unakuta mtu hana hata pesa ya nauli kutoka Mbezi kwenda Sinza kwa boyfriend au kujinunulia pedi ila anataka kusuka nywele za elfu 30, awe na pochi kali, mafuta ya elfu 20, wigi la elfu 50, anywe sijui Hennessy, Bruto na upuuzi mwingine, hapo sasa ndipo vizinga na kazi ya omba omba inapoanza.
Mbona nyie hamsubiri muda kuanza kuomba Kei?Kuna kuomba kwa utaratibu wewe, na ni ile ukiomba unaomba vitu vya maana but after kujenga trust kwa yule mtu, sasa mtu ndo mmekutana hata mwezi huna, hujamsoma, hajakusoma akakuelewa, ndiyo amerusha verse ya kwanza maara boom ombi la efu50 ya nini sasa tulia usome mchezo siku ukisema unaomba hata mil5 unapewa, na baadaye vikubwa vinafuata
Mara nauli kuna msiba wa bibi😀😀😀 wanaomba vitu vidogo vidogo sana haviendani na thamani zaoUmesahau mjomba kameza shoka🤣
Natamani uelewe hili ni kundi lipi linazungumziwa hapa, vijana wengi wataelewa zaidi, hapa sio mahusiano committed, hapa tayari ni ile hali ya kuviziana, kila mmoja anamuwahi mwenzie atakayechelewa tu inakula kwake, achana na hast generalization kwanza, utaona ni kundi kubwa ndio, lakini halibebi hatma ya kila mwanamake!Unaona wanawake hawapati faida kwenye kufanyishwa ngono bila kuomba cha ziada kwa sababu ume i commoditize ngono. Umeufanya mwili wako kuwa bidhaa. Inaona faida ni oesa na mali tu. Huoni mwanamke kufurahia tendo hilo bila pesa au mali kuwa ni faida.
Vinginevyo, ungeweza kuona kuwa tendo la ngono linafaidisha wote, mwanamke naye analifurahia, na kama anaona hatalifurahia na mwanaume fulani, amkatalie tu. Hatuhitaji oesa wala mali hapo.
Hizi ni fikra za kimasikini sana. Zina reduce utu wa mwanamke kwenye pesa na mali.
Kwenye umuhimu wa mijadala hii.
Hakuna tatizo linaloweza kuondolewa bila kujadiliwa.
Zamani hoja ya kupinga mahari ilikuwa haieleweki kabisa. Ukipinga utamaduni wa mahari ulikuwa unaonekana mtu wa ajabu.
Leo hii hoja inaanza kueleweka. Kwa sababu ya mazungumzo kama haya.
Tena tunaanza kuelewa kuwa hoja hizi ni za zamani sana, tangu ya enzi za John Stuart Mill na kabla.
Wakati Nyerere anasoma chuo kikuu aliandika paper kupinga suala la ndoa za kulipa mahari kwa kutumia uzoefu wake wa maisha ya kiafrika na usomi wake, hususan wa falsafa za John Stuart Mill.
Lakini kuna watu mpaka leo hawalielewi. Jambo ambalo Nyerere aliliandika akiwa mwanafunzi wa chuo kikuu.
Sasa unaona kuwa mjadala kuhusu jambo hili ili lieleweke zaidi hauna maana?
Watanzania wangapi waliomsikiliza sana Nyerere miaka mingi kama Mwalimu, mtu wa busara, wanajua kuwa Nyerere alipinga mahari kifalsafa?
Nishachambwa hapa sina hamu 😁Tena akome haswaa.
Kiranga naomba dollar chache nna njaa 😥Wengine tumewasaidia hata hapa JF bila ya kuwaona tukijua hatutawaona maisha haya wako Africa na mtu kama mimi sijarudi Africa mwaka wa 14 huu na sina mpango wa kurudi mpaka afe mtu wa karibu kabisa. So tumesaidia hata bila ya nia ya ngono, kutoka mbali.
So unamuona mtu analialia njaa huko Africa, unaona pesa anayohitaji ni dola elfu chache tu ambazo kwako unamaliza kwenye anasa ya siku chache, ila yeye inaweza kumuanzishia biashara ya kubadilisha maisha yake, unampa bila hata kufikiria kuwa kuna siku mtaonana, kiroho nzuri tu. Mimi nishafanya hilo. Unajinyima anasa ndogo tu, mtu anapata nafasi ya kubadilisha maisha
Hii post naambiwa umenimention, nikiangalia haujanimention … umepigaje pigaje hapo?Mimi hapa ndio wananishamgaza wanawake kama ni unauza sema unauza na kiasi gani kama anayetaka kununua mtakubaliana hivyo biashara kuliko unajifanya ni wife material unajificha kwenye mahusiano kufanya biashara ya umalaya
Kama wewe umeombwa saa 8 ukakubali saa 12 nyinyi wote kwa pamoja ni Malaya hiko hivi wanaume wanapenda wapate sex kwa uwepi na huwa wanafurahia sana lakini huyo mwanamke aliompa kwa urahisi hawezi kumpata thamani Hilo lazima ujue.Case ya mzungu ni tofauti na ninaweza kuitetea, huku kwetu kuna kasumba mbaya ambayo sijui ilitokana na nini, mtu akimuona mzungu wazo default ni kuwa ameleta msaada au ana hela za bure. As woman i’m very much ashamed na alikutana nacho huyo mzungu.
Jibu langu halikuwa kuhusu mzungu, jibu langu lilikuwa nimekuta mjadala uko katikati, nikasoma comments zote nikauliza hamjamuelewa Seran anachosema? Anasema hivi, kwasababu hii na hii….
Kama jamii tumelifanya suala la sex kuwa kawaida sana, nakutana na wewe unaniaomba sex saa nane, nikiamua kukupa jioni nikaanza kukuomba omba pesa kwanini unione waaajabu?