Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Imebamba sana.💪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ni kama Mungu amempa second chance ya kuishi,hali yake ilikua mbaya sana,
Always hope for the good kisha mtangulize Mungu.
Pamoja na kwamba hiyo inaweza kuwa imechangia ila siyo yeye peke yake aliyepokelewa hivyo.Alistahili afanyiwe mapokezi mazuri,kwanza alipambana na kuishinda Cancer,akarudi Uwanjani na kuifungia Timu ya Taifa magoli muhimu kwenye Nusu Fainali na Fainali,hakika alistahili mapokezi mazuri
wangechukua jombe wangepokelewa hivyoKwani Diara na Aziz KI walipokelewa hivi au walijiunga na wenzao kama Ng'ombe wa Kisukuma wawapo machungioni
Wazungu watu kamili bhana isee hadi rahaa yaani..!Sebastian Haller, mshambuliaji wa Ivory Coast aliyefunga magoli muhimu katika mechi za mwishoni zilizoipa Ivory Coast ubingwa wa AFCON 2023 amerudi kwenye klabu yake ya Borussia Dortmund na kupokelewa kwa staili hii.
View attachment 2905403
Mchezaji wa AFCON wa nchi yako amepokelewaje aliporudi klabuni kwake?
Nikinukuhu maneno kuntu ya Erythrocyte "Mungu wabariki Wazungu"