Sebastian Haller, mchezaji wa Ivory Coast akipokelewa klabuni kwake baada ya kushinda AFCON

Huyu jamaa ni kama Mungu amempa second chance ya kuishi,hali yake ilikua mbaya sana,

Always hope for the good kisha mtangulize Mungu.
Alistahili afanyiwe mapokezi mazuri,kwanza alipambana na kuishinda Cancer,akarudi Uwanjani na kuifungia Timu ya Taifa magoli muhimu kwenye Nusu Fainali na Fainali,hakika alistahili mapokezi mazuri
Pamoja na kwamba hiyo inaweza kuwa imechangia ila siyo yeye peke yake aliyepokelewa hivyo.

Hapa chini ni Simon Adingra, naye akipokewa na klabu yake ya Brighton baada ya kushinda AFCON na pia tuzo ya mchezaji bora kijana wa mashindano.



 
Wazungu watu kamili bhana isee hadi rahaa yaani..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…