Sebastian Kinyondo Mzee wa Mitemba

Sebastian Kinyondo Mzee wa Mitemba

Alikuwa ni mtu wa watu.Naomba wasifu wake.Alifariki na nini?
 
IMG-20190221-WA0004.jpg
 
Huyu mzee nilimsikia nikiwa primary mwenye cv lake atuwekee hapa. Sifa yake kuu nasikia ilikuwa kuoiga mtemba kama watu wa cuba
 
dahh umenikumbusha mbali sana ..nakumbuka wakati ule ni waziri wa kazi ,kuna mlemavu mmoja alimvizia pale jengo la ofisi yake ile anatoka tu kwenye lift akamrukia akamsiliba mangumi na kumpiga ngeta kama wezi wa simu mwananymala ...aaah pumzika komredi kinyondo
Nimekumbuka hii issue, ila marehemu huyu alikua muongeaji mzuri sana Mwijage anasubiri mbaali kabisa
 
Alijulikana kwa wengi kama kinyondo Bilenge byasa amabale-Miguu ivunjayo miamba,RIP Mzee!
This is very Biblical name. Kumbukumbu la Torati : Mlango 33
24 Na Asheri akamnena,Na abarikiwe Asheri kwa watoto;Na akubaliwe katika nduguze,Na achovye mguu wake katika mafuta.
 
Sebastian Kinyondo versus Dr Medard Mutungi; Civil Appeal No 83 of 1998; Court of Appeal of Tanzania at Dar es Salaam (Unreported).
  • Evidence
  • Witnesses – Contradiction of witnesses – effect.

  • Election Petition
  • Defamation –Defamation in election campaigns – whether ground for avoidance of an election.
  • Grounds – New matters not pleaded introduced in evidence- whether allowed in election petitions.
Held:-
(i) Differences of testimonies of witnesses of what they heard in a public rally cannot affect veracity of the witnesses if the essence is the same.
(ii) A victory however large, obtained following defamatory utterances, cannot be sustained, the uncalled for defamations are grounds to avoid the election results.
(iii) If a candidate at an election chooses as his election tactics to vilify his opponent by accusing him of criminal conduct, and it is proved that he did so, then he will have done so as his own risk. The court will assume that the allegations adversely affected the other candidate’s election campaign unless the person making the allegations proves that they did not.
(iv) Once a new matter is introduced it is perfectly good evidence. A trial court is not precluded from dealing with a ground of complaint which has not been pleaded (Rule 6 of the Election Rules).
 
Huyu mzee nilimsikia nikiwa primary mwenye cv lake atuwekee hapa. Sifa yake kuu nasikia ilikuwa kuoiga mtemba kama watu wa cuba
Ilikuwa moja ya mashine za uhakika bungeni hiyo,pamoja na kina Tuntemeke Sanga .
Dah! Duniani tunapita tu.
 
Sikuwah kumuona huyu MP but mi pia muhaya na mamaangu kule Bukoba anaishi karibu kabisa na nyumba yake pale Katoma.
 
Back
Top Bottom