mmhhhNasikia kahamisha makazi yake Abuudhahabi na amefungua Clouds ya huko
Hivi ulikuwa na sababu ya msingi ya kusema amempa "Mhaya mwenzake?"Nimesikia sasa ile nafasi ya ya Sebastian Maganga, Meneja vipindi wa Clouds Fm Ruge amempa muhaya mwenzake Shaffih Dauda
hahaaaaa hapo kwenye nyota ya JAHA ndio umemaliza kabisaMkuu zile dharau zako na yale matusi yako kwangu wiki iliyopita pale nilipokuja na uzi humu wa kusema kuwa mtangazaji maarufu Gadner G. Habash anarejea rasmi Clouds Media Group yamefikia wapi? Je nililolisema limetimia au halijatimia? Chuki zako na wivu wako kwangu wewe pamoja na wenzako baadhi humu ndiyo kunanijenga na kunifanya nizidi kuwa maarufu na kipenzi cha watu hivyo nawasihi tu msichoke kuendele kunichukia na kunionea wivu. Lazima ifike muda na wakati mkubali kuwa binadamu tumetofautiana sana katika KARAMA na nina zawadi au kipawa ambacho Mwenyezi Mungu amenipa wewe pamoja na wenzako hamna na hamta kuwa nacho hivyo tujaribu kuheshimiana. Nimekudharau hadi nikiona tu post yako nasikia kichefuchefu! Halafu usivyo na aibu pamoja na kunidhihaki kote kule leo tena umenifuata huku. Nyota yangu ni ya JAHA Mkuu hutaipata wala hutaniweza! Nimemaliza.
Cc Nifah njoo huku,POPOMA yupo!
Nyerere aliifanya Tanzania ikawa ya usawa, yaani hakuna ubaguzi wa dini, rangi, kabila wala itikadi.Nimesikia sasa ile nafasi ya ya Sebastian Maganga, Meneja vipindi wa Clouds Fm Ruge amempa muhaya mwenzake Shaffih Dauda.
Ina maana Sebastian Maganga wamemtimua ama ni vipi?
NdioShaffie Dauda ni Muhaya?...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtu mweusi kumkubali mwenzake mwe kazi kwelikweliKujua kuwa watu wananikubali nalijua sana tu Mkuu hilo na kigezo kikubwa cha kujua kuwa watu wananikubali ni pale wanaponichukia, kunidhihaki na kunikejeli lakini hapo hapo kila waki log in tu JF wanaanza kwanza kutafuta GENTAMYCINE leo kaja na nini humu. Umaarufu wangu au uwezo wangu una BARAKA ZOTE KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU na ndiyo maana NAJIAMINI mno. Najua kuwa nimeshateka mioyo ya wengi humu ila kuniambia tu wanaona aibu!
Kusaga is the owner... hawezi kwenda popote! Hao akina Ruge ni washikaji wanasaidia management, but not share holders
Kusaga is the owner... hawezi kwenda popote! Hao akina Ruge ni washikaji wanasaidia management, but not share holders
labda ni mwanaume wa dar mkuuKwahiyo huku kuniita kwako una maana mimi ndiyo mbea sana humu au? Shika adabu yako.
Nilikuwa najua Ni Chinga boy!..Ulikuwa hulijui hilo mkuuu?!!!