Sebastian Maganga ametoka Clouds Media Group?

Sebastian Maganga ametoka Clouds Media Group?

Mkuu zile dharau zako na yale matusi yako kwangu wiki iliyopita pale nilipokuja na uzi humu wa kusema kuwa mtangazaji maarufu Gadner G. Habash anarejea rasmi Clouds Media Group yamefikia wapi? Je nililolisema limetimia au halijatimia? Chuki zako na wivu wako kwangu wewe pamoja na wenzako baadhi humu ndiyo kunanijenga na kunifanya nizidi kuwa maarufu na kipenzi cha watu hivyo nawasihi tu msichoke kuendele kunichukia na kunionea wivu. Lazima ifike muda na wakati mkubali kuwa binadamu tumetofautiana sana katika KARAMA na nina zawadi au kipawa ambacho Mwenyezi Mungu amenipa wewe pamoja na wenzako hamna na hamta kuwa nacho hivyo tujaribu kuheshimiana. Nimekudharau hadi nikiona tu post yako nasikia kichefuchefu! Halafu usivyo na aibu pamoja na kunidhihaki kote kule leo tena umenifuata huku. Nyota yangu ni ya JAHA Mkuu hutaipata wala hutaniweza! Nimemaliza.
hahaaaaa hapo kwenye nyota ya JAHA ndio umemaliza kabisa
 
nimemuona shafii anamsainisha gadner mkataba nimeshangaa sana
 
Cc Nifah njoo huku,POPOMA yupo!

Tena nimejaa tele Mkuu. Situmii internet za Maofisini bali muda wote nipo hewani na internet bora kabisa ya Mtandao kipenzi kwangu wa " Morocco " jengo la meli. Ukinikosa humu jua nimekwenda kushusha " gogo " mara moja au kupunguza " oil ".
 
Nimesikia sasa ile nafasi ya ya Sebastian Maganga, Meneja vipindi wa Clouds Fm Ruge amempa muhaya mwenzake Shaffih Dauda.

Ina maana Sebastian Maganga wamemtimua ama ni vipi?
Nyerere aliifanya Tanzania ikawa ya usawa, yaani hakuna ubaguzi wa dini, rangi, kabila wala itikadi.
Unaposema Muhaya mwenzake unaturudisha tulikotoka!
Wacha ubaguzi!
 
Kujua kuwa watu wananikubali nalijua sana tu Mkuu hilo na kigezo kikubwa cha kujua kuwa watu wananikubali ni pale wanaponichukia, kunidhihaki na kunikejeli lakini hapo hapo kila waki log in tu JF wanaanza kwanza kutafuta GENTAMYCINE leo kaja na nini humu. Umaarufu wangu au uwezo wangu una BARAKA ZOTE KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU na ndiyo maana NAJIAMINI mno. Najua kuwa nimeshateka mioyo ya wengi humu ila kuniambia tu wanaona aibu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtu mweusi kumkubali mwenzake mwe kazi kwelikweli
 
Na ndivyo ilivyo JOE is the owner. Rugay Ni mkurugenzi wa vipindi clouds media while JOE KUSAGA is the CEO and the owner of all entire company. Story zingine tuwaachie wanaume wa Dar.
Kusaga is the owner... hawezi kwenda popote! Hao akina Ruge ni washikaji wanasaidia management, but not share holders
Kusaga is the owner... hawezi kwenda popote! Hao akina Ruge ni washikaji wanasaidia management, but not share holders
 
Back
Top Bottom