Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Yaan hapa nataman kulewa ila silewi.....niko alone...dah...Yaani nimekuwaza, long time sijajiachia..Kuna siku moro niliboreka nikatoka kwenda kulewa peke yangu ile sehemu ulinielekeza ila sijuenjoy kwa kweli. Company muhimu.
Sijui nakuja lini huko maana maza hayupo. Pasaka naenda kumuona..makao makuu.
Moro napapita nitakuwa natokea dar kwa mjeda
DuhPole sana.
la wifi si yupo...mkamue sawasawa leo
Umetaja mnyaki nimesisimka chuchuπHa haaa ana rafiki yake mmoja mweusiii wa kung'aa, mrefu mnyakyusa..kitombi balaa, atakufaa I guess
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Aaarg unantia hasira hlf sina hela.Yaan hapa nataman kulewa ila silewi.....niko alone...dah...
Koh koh koh nyie bana, niacheni jamani nipo na tenzi za rohoni mieTunadetermine umbo lake na rangi yake .mengine iachie ccm
Mrefu..mweusi tiiiiUmetaja mnyaki nimesisimka chuchu[emoji529]
Mie nilijua MMU kumbe tuko habari.Hawajatenda haki, ona sasa tunatoa stress zetu kwenye majukwaa yasiyofaa[emoji57]
Kuna haja ya kuongea na Max kike zaidi, hajafanya poaTuandamane best
Nahisi kutimuliwa hapa maana si kwa kujiachia hukuMie nilijua MMU kumbe tuko habari.
Yaani mpaka tunavamia makazi ya watu.
Tuandamaneni tu..hamna namna
πππ Shida yote hii kaileta SebastianUmetaja mnyaki nimesisimka chuchuπ
Tuunde team tutafute mwakilishi akatuwakilishe kwa Max. Hali ni teteKuna haja ya kuongea na Max kike zaidi, hajafanya poa
Kabisa.Kwanini lakini walilivunja, ni haki yetu kikatiba kuwa na vitu kama vile
Teh..eti hapendi kuona watu wakifanya yale mambo kwa kideo.Mtoto mzuri yukwapi hapo.....
Hapo ana moka apate stimu....keshaloa chapachspa
Kama E!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mtoto mzuri yukwapi hapo.....
Hapo ana moka apate stimu....keshaloa chapachspa
Hahahhahaa kapeace shenz zako wwπππ Shida yote hii kaileta Sebastian
Hahahahaa eve nachekaga kila coment yako nimechekaaaKuna haja ya kuongea na Max kike zaidi, hajafanya poa
Hata wa kuibia huna?Soldier and footballer nlikuaga na mipango nao hawa, basi tena harakati zangu ziliishia kuwa harakati za pimbi sikuwahi kufanikiwa....imeisha hiyo.