Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Kama ana msuli...nimefika maana vitombo vyao si vya awamu hii
Hahhahaa jamani wanaume wenye misuli mie nakuaga mpoleee...hahahaa....yaan mm nikae na ww men ni mweupe...unalamba lips..nitahakikisha bill zote zije kwangu tu..unajua raha sana men alipie bills..yaan unaona kiuno kinawaka kwa hamu...shenzi zao
 
Kwa kweli na body matata ya mwanaume wa kiafrika

Au nasema uongo Wangari Maathai maana umeona ninachokiona[emoji188][emoji188][emoji188]

Lala salama shujaa wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji174][emoji22][emoji120]
Nyie viumbe mna maajabu...kumbe mnapenda tena mabody ya vile tena ya Kiafrika.. sio six pack tena? Wembamba jee?
 
Teh..eti hapendi kuona watu wakifanya yale mambo kwa kideo.
Alitakiwa aione ile mada ya boss wa wachawi jf inasema niliwahi mnyonya mtu naniliuuu
Comments za kipumbavu haziendani na Uzi, kama kuchart nenden DM zenu siyo hapa, , , au mnadhani hatuwezi kufanya huo ushetani wenu, , , , shenzi kabisa wewe na utaishia kulambwa chuchu[emoji104]
 
Comments za kipumbavu haziendani na Uzi, kama kuchart nenden DM zenu siyo hapa, , , au mnadhani hatuwezi kufanya huo ushetani wenu, , , , shenzi kabisa wewe na utaishia kulambwa chuchu[emoji104]
Fanya huo ushetani tukuone.
Utalambishwa chuchu.

Mtu mzima kileja.
Uzi sio wako...ashuo tu.
Au wewe huna msuli?
Naona umeumia sana
 
Hahhahaa jamani wanaume wenye misuli mie nakuaga mpoleee...hahahaa....yaan mm nikae na ww men ni mweupe...unalamba lips..nitahakikisha bill zote zije kwangu tu..unajua raha sana men alipie bills..yaan unaona kiuno kinawaka kwa hamu...shenzi zao
Hahahaha
Eti kiuno kinawaka hamu.
Walamba lips sio kabisa aisee
 
Jamaa hata wakirudi kambini wameshachuma vya kutosha hizo route walizopiga na jiwe siyo haba!
 
Back
Top Bottom