Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Hahhahahhaaha....mie nakuelewa kwasababu ni mtu mzima 🤣🤣! Mwanaume raha akushike hata mkono ushindwe kuutoa .khaa...sio nyoronyoro
Kabisa mwaya....
Utu uzima dawa mdogo wangu.
Mwanaume hata akipiga cross multiplication mkono wako, kichozi kinatoka.
Mara viutani vya hapa na pale.
Mara umempiga msuli wake wa mkono...mara umemdandia mgongoni kakubeba...
Njoo sasa kwa hawa akina nanilii walamba lips.
Hawako romantic kabisa, utadhani umekaa na demu mwenzio.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣....yaan ulichoandika ningekuwa sina utashi ningehis hii ni id yangu nyingine🤣🤣dah🙌🙌🙌🙌🙌 salute
 
Kuna wanaume ukimshika mkono utadhan umeshika tofali jaman dah had rahaa .sio men mkono softyyyyy ya nn sasa mm...
Kabisa...kono kono.
Jamani kama humu kuna mjeshi, komando au FFU aje Pm....mjue nawapenda.
Walioolewa na hao watu wana raha sana.

Sio unamshika mkono mwanaumr anateleza na Nivea yake....hahahahaha
 
Nishawahi pigwa shoo moja na mjeshi...wale si watu, wanakamua barabara.
Mie yale magandwa tu mie hoi.
Ila akivua, stimu zote zinakata....apige shoo na gwanda zake.
Yeah, wana pumzi wale....balaa
[emoji3][emoji3] wajinga nyie mnanipa raha
 
Back
Top Bottom