mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,458
- 36,481
Ninazo siku nyingi ila sio kwa matumizi hayo unayowaza wewe🙄🙄Nikupe contact zake?
Ninazo siku nyingi ila sio kwa matumizi hayo unayowaza wewe🙄🙄Nikupe contact zake?
But why?????Hata kama hutaki utataka tu ....lol
Darling yani unamsifia mwanaume mwengine hadharani. Na mimi Sasa naenda kujipaka kiwi.Kwa kweli na body matata ya mwanaume wa kiafrika
Au nasema uongo Wangari Maathai maana umeona ninachokiona👣👣👣
Lala salama shujaa wetu John Pombe Joseph Magufuli 💔😢🙏
Mkuu Leo naona wapo wote wawili.Kulia kwakoView attachment 1730037
Unaona sasa? Umeanza kuwaza visivyo 😄Ninazo siku nyingi ila sio kwa matumizi hayo unayowaza wewe🙄🙄
Nguseroh weeeeDarling yani unamsifia mwanaume mwengine hadharani. Na mimi Sasa naenda kujipaka kiwi
Huyu jamaa wanamsifu lkn hawajawahi kujua alikuwaga anapiga mbonji na yupo kazini..🤣Itakuwa alisinzia kama kawaida yake
Muone🙄Unaona sasa? Umeanza kuwaza visivyo 😄
KuagaMkuu Leo naona wapo wote wawili..
😋😋But why?????
Sio kuaga tu nimeona wamevalia vitu za kazi bado wapo kazini mpk marehemu aingie ardhini!Kuaga
Wangari Maathai njooo umuone hansham hapaKulia kwakoView attachment 1730037
Breki hazikabi ... [emoji2414][emoji2414]Wangari Maathai njooo umuone hansham hapa
Hahaha, kuwa na contact zake si unaweza kumpigia ukamwambia tu unamkubali!Muone🙄
Warudi kambini sasa kwa majukumu mengineSio kuaga tu nimeona wamevalia vitu za kazi bado wapo kazini mpk marehemu aingie ardhini!
My beautiful bunny you changed your avatar picture you look awesome and tremendous. Can I take you for lunch?Picha
Aliyenyosha mkono kushoto kwa JPM karibu kabisa na JPMNi yupi kati ya hao View attachment 1730039
Kwani huyu si ndo walisema amedead kwa corona Nairobi?Kulia kwakoView attachment 1730037
Ukimuuliza atakuambia mama D alishambia hayoHahaha, kuwa na contact zake si unaweza kumpigia ukamwambia tu unamkubali!