Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Hahahhahaaa..u wish...Wangu sasa ukiona body langu si utazimia? Kwasababu wakati wa summer napara wakati mgumu sana kwa madem na wanaume kunionea wivu.
Hornet njoo mwaya ushangae mabody
Hahahhahaaa..u wish...Wangu sasa ukiona body langu si utazimia? Kwasababu wakati wa summer napara wakati mgumu sana kwa madem na wanaume kunionea wivu.
Walisema amelazwa corona imemkaba na yeye, imagine mgonjwa wa corona anakumbatiwa hivyo[emoji3][emoji3]Haha Demi, ya bin'adam yaache kama yalivyo tu.
Mama J walisema pia amelazwa.. may be ni kweli may! Ukiangalia muda wote ameshikiliwa.
Na hivi tunaongoza Nchi mwehHahahahaa abaki alee familia[emoji2960]
Kataa wakati yule yupo busyHahahaha.....pepo toka
S ajabu tena kama wote wameamua kwenda na imani ya kinjeketile, tuendelee kusubiri maanabmuda ndio msema kweli.Walisema amelazwa corona imemkaba na yeye, imagine mgonjwa wa corona anakumbatiwa hivyo[emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Shem wangu.Muungwana ila kasha adapt hata mazingira ya kawaida hua hachek wala hana maneno mengi.ila jichanganye ule mitamaAna color tamu balaa
Itakuwa balaaS ajabu tena kama wote wameamua kwenda na imani ya kinjeketile, tuendelee kusubiri maanabmuda ndio msema kweli.
Ni mzimu broJF KUNA WALIOZUSHA KIFO CHA MLINZI WA JPM KUMBE YUPO NA LEO NIPO NAE jirani HAPA uwanja wa UHURU
Tutastuana [emoji2]
Jamaa mcheshi sana na mpenda utani
Kwa kweli na body matata ya mwanaume wa kiafrika
Au nasema uongo Wangari Maathai maana umeona ninachokiona
Huwa mnaliwa padogo tu dah... Yaani rangi tu!?Wangari Maathai said:Ana color tamu
Walisema amelazwa corona imemkaba na yeye, imagine mgonjwa wa corona anakumbatiwa hivyo[emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Ajichanganye ale "mitama" au "aliwe"Shem wangu.Muungwana ila kasha adapt hata mazingira ya kawaida hua hachek wala hana maneno mengi.ila jichanganye ule mitama
kumbe mwamba yupo bana, kuna mbuzi flan uko walishazusha kavuta, ila wabongo banaKulia kwakoView attachment 1730037
Yupo kama aonekanavyo...kumbe mwamba yupo bana, kuna mbuzi flan uko walishazusha kavuta, ila wabongo bana
Kuna vitu vinafikirisha sana mkuu [emoji3]Mkuu umereason mpaka nimefurah..
Yupo kama aonekanavyo...
kumbe hata nyie huwa mnatamani na kuvitiwa?Hata kama hutaki utataka tu ....lol