Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Mimi inshu ya kigogo kua na namba za simu za huyo jamaa ndo limeniacha hoi hasa. Inamaana alikua anajuana nae. Mmhhhh kazi kweli kweli
Mbona ya magu anayo [emoji3][emoji3]
 
Huwa mnaliwa padogo tu dah... Yaani rangi tu!?
Sasa wewe Gemini Are Forever mbona starehe ya wengine wivu hivyo!?
Watu wakikubaliana ni starehe yao wala hakuna mwenye faida na hasara uelewe tuu hivyo...
Wangari Maathai kuna mtu anaumia huku..... halafu utakuta hata hakidhi vigezo

Haya leta rangi yako na body tutathimini wivu wako unasababishwa na nini🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom