T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,096
- 4,578
Umaarufu unampa mtu sifa za ziada, kuna wanawake wa kawaida tu lakini kwa umaarufu wao mtu anamtamani wakati wanawake aina ile anao mtaani, same to huyo jamaa kimsingi yuko kama wengi tu tulivyo, sasa hiyo title ya kuuza sura na bosi mkuu dah atakuwa amewakaza ana[emoji23][emoji23]Huwa mnaliwa padogo tu dah... Yaani rangi tu!?