Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Sasa wewe Gemini Are Forever mbona starehe ya wengine wivu hivyo!?
Watu wakikubaliana ni starehe yao wala hakuna mwenye faida na hasara uelewe tuu hivyo...
Wangari Maathai kuna mtu anaumia huku..... halafu utakuta hata hakidhi vigezo

Haya leta rangi yako na body tutathimini wivu wako unasababishwa na nini🙄🙄🙄
Hahahaa atuacheeee
 
Afu wengine wanaoongoza kwa utamu ni hawa wanajeshi....hasa umkute yule aliyejazia kifua na mikono...
I wish siku nimpate komandoo...
Afu sijui kwanini nawaza haya au kwa kuwa nimeshashiba ugali?
Mjeshi ana pumzi nadhan tuongelee huko zaidi😆😆.nadra kumkuta analamba lips
Ndugu zangu nyieeee haya!!!!
 
Back
Top Bottom