GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Jamani picha yake tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani picha yake tafadhali
Wote ndo wale wale.Mwenzie unajua yuko wapi?
Namfahamu vizuri. Ila sio peke yake kwenye familia anaejihususha na bima.Sijui. Hiyo ni topic hata hapa JF ipo. Mumiliki wa Jembe FM ndie pia mmiliki wa Bima.
Mdogo mtu nani?Wote ndo wale wale.
Baba alikua na kampuni ya insurance ndo huyu jamaa kairithi. Na akapiga hela NIDA,CCM ,BOT na Barick(Acacia now)
Hiyo tenda ya BOT ndo imechukuliwa na mdogo mtu
Na pia mama yao(wa kambo) ana kampuni ya insurance.
Familia nzima wamejikita kwenye biashara ya bima.
Wewe unamjua kweli.Ulizia. Ndie yy
Duh!!! Ni mkenya kweli????Reuben Ndege (Ncha kali) yule jamaa ni Mkenya hawana uhusiano wowote
hahahahaha heshima yako mkuuWewe ni mtoto kiumri. Uwe unaamkia humu
Reuben Ndege (a.k.a Ncha Kali)Ni ndugu na Reuben Ndege au ni majina tu yanafanana?
Hutaki sasa? Na ndiye bwana ake na Dina Marios
Naam. Humu wengi sana ni wa 90s inaonekanah
hahahahaha heshima yako mkuu
Ndy ni MkenyaDuh!!! Ni mkenya kweli????
Ulivyosema daktari umenikumbusha mbali, huyu jamaa alikuwa kitengo cha uzazi alitoa msaada mkubwa kwa mama yangu, wadogo zangu wawili wamejifungua chini ya uangalizi wake tena kwa njia ya operation, big up sana kwakeHuyu jamaa ni mtu poa sana Alikuwa anaendesha kipindi.cha njia panda clouds fm akiwa na rafik yake Dr Isack Maro alisaidia watu wengi sana kwenye kipindi chake, pia alikuwa doctor wa wanawake Muhimbili na ni mmliki wa skylite band, ndege insurance na Jembe ni Jembe. big up to him
Katika ripoti ya CAG hawa jamaa wametajwa kama wahusika wa mchezo mchafu wa pesa na wanatakiwa kuhojiwa na mahakama, tusione watu wanajua kutafuta kumbe wengi kuna conection za kuchota pesa isivyo halali.Wote ndo wale wale.
Baba alikua na kampuni ya insurance ndo huyu jamaa kairithi. Na akapiga hela NIDA,CCM ,BOT na Barick(Acacia now)
Hiyo tenda ya BOT ndo imechukuliwa na mdogo mtu
Na pia mama yao(wa kambo) ana kampuni ya insurance.
Familia nzima wamejikita kwenye biashara ya bima.
Mtu yupo serius kabisa amekomaa kusisitiza kuwa Reuben Ndege ni mkenya!Huu ujasiri wa kusisitiza jambo usilolijua ni wa kiwango cha kimataifa aisee...
Vigezo unavyovitumia kumuona NCHA KALI ni mkenya lazima vimtambue kwa uhakika kabisa kuwa Dokii nae ni mkenya kabisa
Hivi wewe??Mtu kutoka Tarime ndo kuwa mkenya just because Tarime ni karibu na Kenya?Halafu nani kasema kuwa being a Kenyan ni problem?Is there a problem being a Kenyan?. Ndege ni watu wa Tarime.....sasa Tarime na Kenya kuna tofauti? si ni mipaka tuu ya wakoloni? Unless uniambie kwamba kuna shida..otherwise..wengi wetu makabila yameingiliana na majirani zetu. Its normal!