Sebastiani Ndege ni Jembe

Sebastiani Ndege ni Jembe

Attachments

  • TMPDOODLE1493978261322.jpg
    TMPDOODLE1493978261322.jpg
    22.1 KB · Views: 175
  • Thanks
Reactions: SDG
Mwenzie unajua yuko wapi?
Wote ndo wale wale.
Baba alikua na kampuni ya insurance ndo huyu jamaa kairithi. Na akapiga hela NIDA,CCM ,BOT na Barick(Acacia now)

Hiyo tenda ya BOT ndo imechukuliwa na mdogo mtu
Na pia mama yao(wa kambo) ana kampuni ya insurance.

Familia nzima wamejikita kwenye biashara ya bima.
 
Mdogo mtu nani?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huyu jamaa ni mtu poa sana Alikuwa anaendesha kipindi.cha njia panda clouds fm akiwa na rafik yake Dr Isack Maro alisaidia watu wengi sana kwenye kipindi chake, pia alikuwa doctor wa wanawake Muhimbili na ni mmliki wa skylite band, ndege insurance na Jembe ni Jembe. big up to him
Ulivyosema daktari umenikumbusha mbali, huyu jamaa alikuwa kitengo cha uzazi alitoa msaada mkubwa kwa mama yangu, wadogo zangu wawili wamejifungua chini ya uangalizi wake tena kwa njia ya operation, big up sana kwake
 
Aisee JF ni kiboko! Yaani hata kama baba yako humjui......basi weka uzi hapa.....utaambiwa habari zake! Duh
 
Wote ndo wale wale.
Baba alikua na kampuni ya insurance ndo huyu jamaa kairithi. Na akapiga hela NIDA,CCM ,BOT na Barick(Acacia now)

Hiyo tenda ya BOT ndo imechukuliwa na mdogo mtu
Na pia mama yao(wa kambo) ana kampuni ya insurance.

Familia nzima wamejikita kwenye biashara ya bima.
Katika ripoti ya CAG hawa jamaa wametajwa kama wahusika wa mchezo mchafu wa pesa na wanatakiwa kuhojiwa na mahakama, tusione watu wanajua kutafuta kumbe wengi kuna conection za kuchota pesa isivyo halali.
 
Mtu yupo serius kabisa amekomaa kusisitiza kuwa Reuben Ndege ni mkenya!Huu ujasiri wa kusisitiza jambo usilolijua ni wa kiwango cha kimataifa aisee...

Vigezo unavyovitumia kumuona NCHA KALI ni mkenya lazima vimtambue kwa uhakika kabisa kuwa Dokii nae ni mkenya kabisa
 
Is there a problem being a Kenyan?. Ndege ni watu wa Tarime.....sasa Tarime na Kenya kuna tofauti? si ni mipaka tuu ya wakoloni? Unless uniambie kwamba kuna shida..otherwise..wengi wetu makabila yameingiliana na majirani zetu. Its normal!
 
Sebastian Ndege ni mtoto wa Casmir Bigacho Ndege Moja ya Mawakala wa bima wa mwanzo kabla na baada ya Azimio la Arusha.

Alianza na uwakala akiwa Mwanza na badaye Dar es Salaam kipindi hicho ikiwa Ndege Insurance Agency na badaye Ndege Insurance Brokers.

Dr Sebastian Ndege kitaaluma ni Tabibu (Doctor of Medicine) alihitimu Kati ya 2003/2004 Chuo Cha Muhimbili na kufanya Internship Mwananyamala.

Baba yao alimwaacha Mama wa kambo alipofariki na ambaye baada ya muda mfupi alikuja kuwa mwandani wa Mzee Wasira.

Dr Sebastian Ndege pamoja na wanafamilia wenzake hawana mahusiano mazuri na Mzee Wasira kwani wanadhani Mzee Wasira alikuwa anamcheat Baba yao pindi akiwa hai maana wawili hao ni marafiki wa karibu.

Dr Ndege kifupi ni mtafutaji pindi anachukua ofisi ya Baba yake ilikuwa Kama a dead Company na yeye akaisimamisha na kamua kusomea Postgraduate ya Risk Management IFM.

Ndege anayehusishwa na NIDA Ni Asteri Ndege Wana undugu lakini sio wa tumbo Moja na hata mtoto wa Mama yao wa kambo Amani Ndege anajishughurish na bima kupitia Kampuni ya Mama yake Ghati Insurance Brokers.

Pamoja na bima, Band, Hotel kuna biashara nyingi Dr Ndege anajishughulisha nazo
 
Is there a problem being a Kenyan?. Ndege ni watu wa Tarime.....sasa Tarime na Kenya kuna tofauti? si ni mipaka tuu ya wakoloni? Unless uniambie kwamba kuna shida..otherwise..wengi wetu makabila yameingiliana na majirani zetu. Its normal!
Hivi wewe??Mtu kutoka Tarime ndo kuwa mkenya just because Tarime ni karibu na Kenya?Halafu nani kasema kuwa being a Kenyan ni problem?

Umeitoa wapi hii reasoning aisee?Halafu kukubali kuwa ulikosea kwa kudhani ni mkenya wala sio hatia...ni ustaaranu wa kawaida tu.Kushupaza shingo ili tu ubishane ndo unajikuta unatoa logic za ajabu kama hii hapa kuwa watu wa tarime ni wakenya tu kwa sababu tarime ni karibu na kenya
 
Back
Top Bottom